Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Kiongozi wangu kwa elimu kidogo tu ya undercover detective niliyonayo mkuu wewe hukuwa guest tu mkuu wangu.

Kama umekataa kuisema ID yako ya zamani mkuu wangu ni sawa maana ni privacy yako.

Nilitaka ku settle mambo tu nisije nikatongoza tena ambapo nilishapigwa kibuti. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu nenda sydney australia

Ni bonge la jiji , nenda kajioneee shelly's house zinavyoelea ndani ya maji

In short utataman ufie huko huko
 
Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Njoo huku Ibiza nitakuw mwenyej wako
 
Back
Top Bottom