GE2025 Nchi hii ni ya Kidikteta,hayawezi kutokea maandamano

GE2025 Nchi hii ni ya Kidikteta,hayawezi kutokea maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Nashanga kuona kwamba watu wsnafikiria kwamba wataandamana tarehe 29 October. Maandamano ya katika nchi hii tulifanya sisi Mwembechai.

Inasikitisha sana kuona Hawa watu wanaongea haya maneno ya uongo,eti watafanya maandamano tarehe 29. Kwanza maneno kama hayo ndiyo yanasababisha Tundu Lissu asiachiwe huru.
 
Naunga mkono hoja
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
Mkuu Popi, Poppy Hatonn ,
Nipo, na hakuna maandamano yoyote wala fujo, vurugu au machafuko yoyote, kilichopo ni keshokutwa Jumatano, watu tutajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kuwachagua viongozi tunao wataka.
P
 
Back
Top Bottom