Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Ukiangalia kwa undani sana na ukatafakari mambo kwa nyuzi 360, utagundua CCM na wana CCM wala hawana tatizo lolote bali tatizo lipo kwa watu ambao sio wana CCM. Nitafafanua!!
CCM ni chama cha siasa na wana CCM ni wanasiasa ambao kwa hali na mali watatumia njia sahihi na haramu kutafuta namna ya kuendelea kubaki na "ulaji" a.k.a madaraka kama ambavyo CHADEMA, ACT, CUF nk watafanya wakipata madaraka
Kwanini tatizo naliona kwa wananchi wasio wana CCM?
Hawa ndio wenye nguvu ya kugomea na kukataa kila kinachofanywa na CCM na kuhakikisha kinakuwa dhoofu kwa kila mkakati wao kushindwa
Kama CCM wanafanya makorokocho kwa nchi halafu raia wapo tu wameduwaa kama kondoo amayesubiri kupelekwa marishoni nani mwenye tatizo?
Watanzania bado tumelala kiasi cha kuwaruhusu watu wengine kufanya mambo yao bila wasiwasi
Nieleweka wazi kwamba napoongelea wananchi wasio wanaccm sijawatenga jeshi la polisi, Jwtz, takukuru, uhamiaji, walimu, manesi, madaktari na wengine wote wanaolitumikia taifa sehemu mbalimbali.
Huko kote wapo watu wasiokuwa na itikadi za CCM lakini kwasababu ya ukondoo hawana ujasiri wa kujionyesha wazi wazi.
Kama wana CCM wao wanajionyesha wazi, hawa wasio wana CCM kama sio matatizo yao wanashindwa nini kujionyesha wazi?
Wale wataalamu wa mahusiano ya kutumia nguvu mtakubaliana na mimi kwamba mwanamke kama hataki kukupa penzi lake utatumia nguvu ya ziada kupanua mapaja yake na pengine unaweza usifanikiwe kupafikia unapotaka kufikia kama huyo mwanamke ataonyesha ujasiri wa kutokukubaliana na unachokitaka wewe
Sent using Jamii Forums mobile app