Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Tazama nchi hizi ni lazima mwananchi apate mafunzo ya kijeshi.
Denimaki ๐ฉ๐ฐ Austria ๐ฆ๐น
Russia ๐ท๐บ Israel ๐ฎ๐ฑ Finland ๐ซ๐ฎ Norwei ๐ณ๐ด Korea zote mbili Angola ๐ฆ๐ด Mozambique ๐ฒ๐ฟ Algeria ๐ฉ๐ฟ Morocco ๐ฒ๐ฆ
Ukiangalia nyingi ni nchi za dunia ya kwanza tena zina uchumi mzuri na usalama wake kutosha tu. UK ๐ฌ๐ง na Poland ๐ต๐ฑ nao wanataka iwe lazima.
Nimegundua AMANI na USALAMA ni vitu namba moja kwa wenzetu maana kikinuka tu hakuna chochote kinaweza kufanyika. na hatua ya kwanza ni kuhakikisha wananchi wako wote wake kwa waume wanakuwa na idea na mambo ya usalama waweze kujilinda wenyewe na kulinda nchi.
Kikinuka tu basi;
Makazini hakuendeki
Mabenki hayafanyi kazi
Zero movement huko mabarabarani labda uwe na chuma
Home penyewe hakukaliki
Hapa kwetu shida nini? Kwanini kwetu sio lazima? shida ni nini hasa?
bajeti?
Usalama mwingi au?