Nchi hizi NI LAZIMA kila mtu kwenda mafunzo ya kijeshi, kwanini sio sisi?

Nchi hizi NI LAZIMA kila mtu kwenda mafunzo ya kijeshi, kwanini sio sisi?

Hata sisi wafanye kila raia ni LAZIMA apate mafunzo ya kijeshi.
 
Katika awamu ya kwanza angalu kidogo lilifanyika: Mafunzo ya mgambo (People's Militia) ilikuwa ni lazima kwa walio makazini, mashambani, nk. ambao hawakuwa na sifa ya kwenda JKT. Na kwa vijana wasomi wanaofikia kidato cha VI, Chuo na kuendelea ulikuwa huwezi kukwepa JKT. Nakumbuka kwa wahitimu wa kidato cha VI, ulikuwa huwezi kujiunga Chuo Kikuu kama hujapitia mafunzo ya JKT. Kwa mfumo huo wananchi wengi walijikuta wamepata mafunzo ya kijeshi; ama kupitia Mgambo au JKT. Na ni wazi hawa ndiyo wengi walishiriki katika vita ya kukomboa Kagera mwaka 1978/79.
 
Back
Top Bottom