johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena.
Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo.
Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii na Siaradibii ukishawakabidhi Hati za Nyumba wewe ni Sawa na Mufilisi hadi pale utakapojikomboa.
Ni ufafanuzi tu.
Nawatakia Sabato Njema 😄