johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tumeshakabidhi Rasilimali zote!! Zenji wajanja wanatuzum tuNchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena.
Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo.
Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii na Siaradibii ukishawakabidhi Hati za Nyumba wewe ni Sawa na Mufilisi hadi pale utakapojikomboa.
Ni Ufafanuzi tu.
Nawatakia Sabato Njema π
Kwa mujibu wa Prof Aurora hiyo nayo ni biashara nyingine ya Wakandarasi kujiongezea kipato kwa Njia ya Riba πSasa kama umekosa pesa ya kulipa mkopo,
Hiyo Riba ya kuwalipa ulipochelewa kulipa itoke wapi?
Halafu ujue Bankruptcy ni kitendo Cha kushindwa kulipa, huna pesa benk kulipa madeni na mikopo. Haihusiani na dhamana.
Zanzibar wenyewe visiwa vidogo wamevikodishaTumeshakabidhi Rasilimali zote!! Zenji wajanja wanatuzum tu
Nchi iko hoi matumizi ni makubwa sn na yote hayana msingiUnalipwaje riba wakati PE anadai ni mfumo unasumbua ila malipo yamefika 92%
wakandarasi akina Rostam kwa mgongo wa nyumaKwa mujibu wa Prof Aurora hiyo nayo ni biashara nyingine ya Wakandarasi kujiongezea kipato kwa Njia ya Riba π
So far kama nchi tunamiliki nini Bwashe?Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena.
Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo.
Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii na Siaradibii ukishawakabidhi Hati za Nyumba wewe ni Sawa na Mufilisi hadi pale utakapojikomboa.
Ni ufafanuzi tu.
Nawatakia Sabato Njema π
Mlima Kilimanjaro ππSo far kama nchi tunamiliki nini Bwashe?
Hakuna kilichouzwa bwasheeKwahiyo Nama Abdul anaifilisi nchi maana kila kitu kauza, John chunga mdomo wako.
So far kama nchi tunamiliki nini BwaHahahahahah, masikhara bwashe. Kuna wageni wanaendesha KIA, ukute wananyemelea mlima Kilimanjaro piaMlima Kilimanjaro ππ
Mwenyew si alisema "Faida ya yale mauzo ndo hii sasa na huu ni mwanzo tu" mbona unambishia?Hakuna kilichouzwa bwashee
kweli huyu Ni Yeye majibu yaleyaleπ€£π€£π€£π€£π€£ kweli watu wana Id mpaka 50 humu yani wewe ni Mwigulu mtupuuuu , wakuu kama hamuamini tafuteni uzi wa wa OKWI BOBAN SUNZU alichouliza alafu jamaa kajibu kwa ID nyingine hapa π€£π€£π€£π€£ ila we Mwigulu unaboa wewe
πππkweli huyu Ni Yeye majibu yaleyale