Nchi iliyojaa neema yageuka kuwa taifa la ombaomba...asante CCM!

Misaada peke yake tunayopata ingetosha kuendesha nchi hii bado mikopo na tpzp!
Najiulizaga PhD za kina Mh Mwigulu zina kazi gani? Kuna maprof wengi sana pale BOT wao uchumi ni makaratasi tu?

Yaani hawana cha kushauri nchi zaidi ya kutegemea kodi za walalahoi? Uchumi wao wamebobea kwenye kuhesabu tu kilochoazaliahwa na wakulima na machinga ila sio kuishauei serikali kuunda na kutengeneza vitega uchumi?
 
A_World_of_Debt_2024_SITE.jpg
 
Professori rubbish
 
Na kuwa ombaomba imegeuzwa kuwa sifa kuu ya watanzania. Tumebaizwa jina tunaitwa "wananchi wanyonge"
 
Back
Top Bottom