Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao huko Zanzibar na Tanganyika;
baada ya kukushawishi kujiunga nao huyo mama wa kizungu anawashawishi hao consultants kuwa wawe suppliers wa madawa ya kukuzia miche ya Avacados na madawa ya kuprotect Asali.
Huyo Prof. Veriani Samwel Maswayaga Tapeli anajifanya ni mtaalam sana wa mazingira hivyo anawaconvince hao consultants washirikiane nae kusupply hayo madawa na baadae wagawane faida. Anawaelekeza kuwa hayo madawa aina ya BOOSTERS na HONEY PROTECTOR yanapatikana kwa wamissionary kule Mlandizi Missionary Farm na anawapa majina ya mapadre wawili fake Fr. Charles Denis Charles na Fr. Festo John Nyagawa ambao ni sehemu ya syndicate yao hivyo unapowasiliana nao unakaribishwa na "TUMSIFU Yesu Kristo" kukuweka sawa kuwa ni Watu genuine.
Huyo Prof. atakwambia fanya order kwa hao mapadre kwa hizo dawa na mchangie gharama za manunuzi na yeye ili faida mgawane nusu kwa nusu! Ukishalipa sehemu yako ya gharama yeye huyo tapeli kwavile wako pamoja na hao purpoted fathers halipi kitu. Watakwambia malipo yamekamilika.Consignment ikiwa tayari watakuzungusha wewe supplier wapi kwa kupeleka watakwambia mkutane RAMADA INN hapo ndipo malipo yatakapofanyika. Hapo hawatakuwepo na mzigo wa dawa not delivered na ukienda kudai seheme ya mzigo uliolipia kwa wale mafather wa MLANDIZI MISSION FARM Simu zao hazipatikani!!!!
Ndivyo wanavyowaliza watu wengi hivyo maprofesa muwe macho, huyu profesa fake when pitching his trade nasikia anamtaja somebody MSIGWA WA FAFOLI kama collaborator wake; msikubali kufanya kazi bila kuwafahamu na kuonana na watu uso kwa uso. Matapeli wa mtandaoni wanaogopa sana kuonana uso kwa uso. These fraudsters wanatarget watu maalum na wanafanya utafiti wa kina wa victims wao. You have been warned . Kijiwe chao Kiko RAMADA INN please take care. Huyo fake prof. ana very sophisticated network.