Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

Mbona huu utapeli ni wa muda sana,mwaka 2012 mi walitaka kuniingiza chaka,nilikuwa babati inshu yao ilihusu madawa kiwanda cha minjingu sijui kama kipo bado,ilikuwa ukiongea na huyu anajifanya wasiliana na flan anakupa namba ukicheki nae huyo unapewa mwingine,hadi unafikia kwa mzungu ambae yeye sasa hajui kabisa kiswahili! Jinsi walivyojipanga unaweza kufikir ni kweli kumbe hamna kitu,mi nilifuata taratibu zote mpaka ilipofikia hatua ya kulipia mzigo ili mlinzi aruhusu kutoka pale minjingu ndio nikawaambia hela sina(binafsi tutaongea vyote ila kwenye hela sitoagi kizembe kwanza sina hizo hela zenyewe[emoji3]) toka hapo simu zote hazikupatikana,niliwahi kupost hii kitu wengi walitoa ushuhuda kuwa hata wao kidogo waungie mkenge
YEp ulitembea nao hadi mwisho wa reli na bado wakaambulia patupu, na huyu profesa alipaswa kufanya hivi just toy with them and waste their time by playing along
 
Mbona huu utapeli ni wa muda sana,mwaka 2012 mi walitaka kuniingiza chaka,nilikuwa babati inshu yao ilihusu madawa kiwanda cha minjingu sijui kama kipo bado,ilikuwa ukiongea na huyu anajifanya wasiliana na flan anakupa namba ukicheki nae huyo unapewa mwingine,hadi unafikia kwa mzungu ambae yeye sasa hajui kabisa kiswahili! Jinsi walivyojipanga unaweza kufikir ni kweli kumbe hamna kitu,mi nilifuata taratibu zote mpaka ilipofikia hatua ya kulipia mzigo ili mlinzi aruhusu kutoka pale minjingu ndio nikawaambia hela sina(binafsi tutaongea vyote ila kwenye hela sitoagi kizembe kwanza sina hizo hela zenyewe[emoji3]) toka hapo simu zote hazikupatikana,niliwahi kupost hii kitu wengi walitoa ushuhuda kuwa hata wao kidogo waungie mkenge
Duhh pole,Minjingu wanazalisha mbolea tu sio madawa na wao ni wahindi wala sio wazungu, bora ulistuka haukuingia mkenge.
 
Kama watu bado wanapigwa basi hawana uelewa na mambo mengi

Jamaa yangu aliyepigwa ameapa kuwa itakuwa Dhabi kuwaacha salama hao waliomtapeli ; atakula nao sahani moja!! Mkiona jamaa zenu wanaanza kuokota makopo mjue yamewafika!
 
Back
Top Bottom