Nchi imegawanyika kati ya wezi na waibiwa, walaji na waliwaji, watawala na watawaliwa, wabaya na wazuri, wanaojitambua na wasiojitambua, wanasiasa na wananchi, wakweli na waongo, matapeli na watapeliwa, wachumia tumbo na wajazao matumbo, wachuna mabuzi na mabuzi nk.Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye mitandao ni vijana . CCM ni Kikwete, Mama na wana mitandao aka wapiga deal. Hapa tuna wajinga jinga machawa ambao wanalipwa kwa propaganda ambazo wameshidwa
Hata mm nipo kama wewe,inawezekana vipi mpka nida ya lissu pamoja na mm inasoma tushatiki wakati uchaguzi bado,wahuni sio watu wazurMimi huo mgawanyiko siujui hapa natafakari hotuba ya polepole
Genge la wanamtandao hawataki kuwaachia wengine uongozi. Wanawaandaa watoto, vijana wao kama Abdul, Mchengerwa, Wanu, Ridhiwan kurithi mtandao.Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye mitandao ni vijana . CCM ni Kikwete, Mama na wana mitandao aka wapiga deal. Hapa tuna wajinga jinga machawa ambao wanalipwa kwa propaganda ambazo wameshidwa
Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye mitandao ni vijana . CCM ni Kikwete, Mama na wana mitandao aka wapiga deal. Hapa tuna wajinga jinga machawa ambao wanalipwa kwa propaganda ambazo wameshidwa