Nchi imesimama kisa Kamati Kuu ya CHADEMA. Hongereni

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake.

Kwa kweli Chadema hongereni kwa hatua hii muhimu mliyofikia kisiasa mkienda vizuri mna kesho nzuri shikilieni hapohapo huku mkiwaachia CCM makapi yanayounga juhudi, hili lichama basi tena limeshindikana kila mahala Chadema, Chadema Bungeni, mikoani nk. Well done
 
Kwamba Tanzania hatuzunguki jua tena.. Hii habari mbona sijaiona NASA
 
Acha Propaganda za kichawi
 
Hivi Mbowe angekuwa dhaifu mngekuwa mnashirikiana kutaka astaafu nyie CCM?
Chama sio chenu, kiongozi sio wenu, hali chakula chenu na wenye naye hawajamchoka sasa mnawashwa na nini?
Ni wazi mnamuogopa kama muiogopavyo njaa!
 
upotoshaji hauna tija yoyote wala hauna maana kabisa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…