hivi chadema ile milioni mia3.24 imefikia kweli gentleman?Zuchu anajifungua alafu pesa zunatunzwa USD hospital.
baada mda stive Nyerere anaita wanahabari kama ana mfokea na kusema hizo pesa zisaidie hospital.
Unashangaa raisi anasema wamefanya vizuri wa sanii na wemepeleka hospital sijui ya nani.
Subirini muone kuanzia huu uzi mpaka mkifika 2030 mtakuwa maigizo ya sinema.
Tatizo sio wingi wa cenema bali viwangoHii nchi hadi kufika 2030 tutakuwa tumeshaigiza hadi sinema ya Oscar, mark my words!