Nchi inaenda vizuri, wazee wa kulalamika siku zote wapo tu hawakosi

Nchi inaenda vizuri, wazee wa kulalamika siku zote wapo tu hawakosi

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa .

Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu.

Vijana wanapambana life goes on

Vitu vimepanda Bei Sana lakini hela ukijituma unapata and you can afford to pay bili zako

Utofauti wa Mama na wengine yeye Mama anaongea ukweli mtupu naked fact.
 
simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu.

Kwako mdaslama madaraja sio muhimu. Huku njombe ludewa kwa mkiu ni muhimu, maana yanatuunganishia barabara za vijiji na kupunguza umbali wa safari na adha ya watoto wetu kusombwa na mafuriko wakati wa mvua
 
Back
Top Bottom