GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza nchi!
1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani?
2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa umma (makatibu wakuu wa Wizara, n.k.)?
1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani?
2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa umma (makatibu wakuu wa Wizara, n.k.)?