Nchi inaendeshwa na utumishi wa umma au wanasiasa?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza nchi!

1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani?

2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa umma (makatibu wakuu wa Wizara, n.k.)?
 
Nchi inaendeshwa na wanasiasa
Nchi inaendeshwa na wanataaluma kutoka sekta mbali mbali ikiwemo siasa ambayo pia ni taaluma inayosomewa na kupata shahada ya sayansi ya siasa.
Ni Tanzania pekee ambayo kila anayeongea maneno mengi kwa dakika tena kwa sauti kubwa ndio anayefaa kufanya siasa.... Tuna safari ndefu sana kufikia utawala bora.
 
Actualy power inatakiwa ibaki kwa wataalam si wanasiasa. Wanasiasa ndio hawa wana ingilia watu wenye utaalamu wao halafu wakisha vurunda wanatafuta scapegoat
 
Viongozi wote wa kuteuliwa ni makada wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…