Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

Watoke kwanini!?
Btw, wabunge asilimia kubwa waliko huko wameingia isivyo halali.

Hawa akina Halima angalao wanapiga kelele kwenye masuala ya msingi tofauti na hao wanaoonekana halali.
Kama hata baadhi ya ya wabunge wa CCM nao wamepitishwa kwa mashaka makubwa,ni ngumu kuwatimua Covid-19.
 
Kosa ni la nani hasa anayesababisha hii hasara na aibu kwa taifa kubwa kama TZ.Kwamba tuna wabunge ambao hatujui wameingiage bungeni .na hakuna nayetolea ufafanuzi swala kubwa kama hili
Wewe ndio hujui wameingiaje! Ila ukienda kumuuliza Mbowe anajua kila kitu
 
View attachment 1762390

Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa.

Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara ya 71 ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ewe mtanzania kuwa msitari wa mbele kuilinda Katiba ya nchi.

My Take
Hili dokezo nalielekeza kwa CAG Kichere aione kwenye jalada lake la hasara za nchi. Hasara hii inanisimamiwa ipasavyo na Spika Ndugai na Tulia ( Najisikia vibaya kuwaita spika)
 
Attachments

  • 2750946-c08125607137b99d081302be910203d3 (1).mp4
    3.4 MB
EUROPEAN UNION HAWAWEZI TOA TENA ILE EURO MILION 900 YA UTAWALA BORA KWA BUNGE ,COVID 19 HAWATAWASAIDIA TENA SANASANA MNAFANYA BUNGE LIONEKANE KITUKO ZAIDI YA UKITUKO LILILONAO TANGU 2015
 
Mada yako imekosa uzito unaotakiwa kuwa nao hivyo kuifanya iwe inaning'inia bila kushikiwa na chochote.

Ulichosahau ni kwamba kama wabunge hao wangekuwepo kihalali hizo gharama ni halali na walistahili kuwepo
Nini usichoelewa wewe. Tatizo amelieleza kwamba "Hawapo kihalali" Gharama ziende kwa walio halali. Mbona miaka yote hizo Gharama zipo, lakini safari hii ni huko kukanyaga katiba.
 
View attachment 1762390

Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa.

Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara ya 71 ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ewe mtanzania kuwa msitari wa mbele kuilinda Katiba ya nchi.

My Take
Hili dokezo nalielekeza kwa CAG Kichere aione kwenye jalada lake la hasara za nchi. Hasara hii inanisimamiwa ipasavyo na Spika Ndugai na Tulia ( Najisikia vibaya kuwaita spika)
Una Mwandiko mzuri
 
Kuna issue ya Wakati na Bahati hapa, sii kila kitu lazima kiwe na tafsiri sahihi ya kisheria, hiyo ni zamu yako kwa wakati tulionao, imeambatana na bahati, so waache wachume, nawe yako ikifika kutakuwa na mfumo mwingine wa ulaji
Kwa mawazo haya ya kipumbavu ndio maana tupo tulipo
Miaka 50 plus ya Uhuru nchi na wananchi bado ni maskini wa kutupwa kwa ujinga huu eti zamu yako yao
Walipa kodi ndio wanahoji hii si zawadi si haki yao kulipwa jasho la walipa kodi

Haki na usawa ni msingi wa maendeleo period!
 
kuna watu ni wapumbavu wa kiwango cha juu. usikute huyo mpumbavu ndio moja ya wabunge
 
Watu wema wapo aisee...hii kitu ipigiwe kelele
 
Back
Top Bottom