Kama hata baadhi ya ya wabunge wa CCM nao wamepitishwa kwa mashaka makubwa,ni ngumu kuwatimua Covid-19.Watoke kwanini!?
Btw, wabunge asilimia kubwa waliko huko wameingia isivyo halali.
Hawa akina Halima angalao wanapiga kelele kwenye masuala ya msingi tofauti na hao wanaoonekana halali.
Wewe ndio hujui wameingiaje! Ila ukienda kumuuliza Mbowe anajua kila kituKosa ni la nani hasa anayesababisha hii hasara na aibu kwa taifa kubwa kama TZ.Kwamba tuna wabunge ambao hatujui wameingiage bungeni .na hakuna nayetolea ufafanuzi swala kubwa kama hili
Matter coreQengay - ear decoration
Lakini ndio ukweli wenyewe
View attachment 1762390
Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa.
Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara ya 71 ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ewe mtanzania kuwa msitari wa mbele kuilinda Katiba ya nchi.
My Take
Hili dokezo nalielekeza kwa CAG Kichere aione kwenye jalada lake la hasara za nchi. Hasara hii inanisimamiwa ipasavyo na Spika Ndugai na Tulia ( Najisikia vibaya kuwaita spika)
Shenzy [emoji57]Matter core
PhallerShenzy [emoji57]
We mzee jiheshimuPhaller
Duuuuuuuuuu...19Γ250,000,000=β’β’β’β’β’β’ jumlisha na Ile bilioni 16.3 na usheee hasara kwa taifa letu. Nimekupata mkuuuko sawa mkuu. data za pensheni ya 250,000,000 hazijawekwa
Nini usichoelewa wewe. Tatizo amelieleza kwamba "Hawapo kihalali" Gharama ziende kwa walio halali. Mbona miaka yote hizo Gharama zipo, lakini safari hii ni huko kukanyaga katiba.Mada yako imekosa uzito unaotakiwa kuwa nao hivyo kuifanya iwe inaning'inia bila kushikiwa na chochote.
Ulichosahau ni kwamba kama wabunge hao wangekuwepo kihalali hizo gharama ni halali na walistahili kuwepo
Tatizo wakianza tu kuwatupia madongo, anatokea Ndugai au Tulia (aliyepo kwenye kiti), anawakingia kifua.nawaomba wabunge wa ccm waendelee kuwazodoa humo bungeni
Watanzania. Tupaze sauti.Nani Wa kuwatoa bungeni hao viumbe ..?
Halafu bado tunalalamika kuna shule hazina madarasa ya kutosha, madawati hakuna, wanafunzi wanakaa chini.Milion 250,000,000Γ19 approximately billion 4.75 ongeza kwenye billion 16 utapata bilion 21 na zaidi
Una Mwandiko mzuriView attachment 1762390
Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa.
Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara ya 71 ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ewe mtanzania kuwa msitari wa mbele kuilinda Katiba ya nchi.
My Take
Hili dokezo nalielekeza kwa CAG Kichere aione kwenye jalada lake la hasara za nchi. Hasara hii inanisimamiwa ipasavyo na Spika Ndugai na Tulia ( Najisikia vibaya kuwaita spika)
njoo uniambie vizuri PM πππUna Mwandiko mzuri
njoo uniambie vizuri PM [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mawazo haya ya kipumbavu ndio maana tupo tulipoKuna issue ya Wakati na Bahati hapa, sii kila kitu lazima kiwe na tafsiri sahihi ya kisheria, hiyo ni zamu yako kwa wakati tulionao, imeambatana na bahati, so waache wachume, nawe yako ikifika kutakuwa na mfumo mwingine wa ulaji
kuna watu ni wapumbavu wa kiwango cha juu. usikute huyo mpumbavu ndio moja ya wabungeKwa mawazo haya ya kipumbavu ndio maana tupo tulipo
Miaka 50 plus ya Uhuru nchi na wananchi bado ni maskini wa kutupwa kwa ujinga huu eti zamu yako yao
Walipa kodi ndio wanahoji hii si zawadi si haki yao kulipwa jasho la walipa kodi
Haki na usawa ni msingi wa maendeleo period!