Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

Watazitapika. Ni jambo la mda tu. Jinai haina kikomo.
 
halafu viwandani watu wanalipwa elfu 3,kweli hii tanzania ya viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…