Nchi inapelekwa pelekwa tu na machawa na watu wenye ufahamu timamu wapo tele

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Hivi si ingekuwa heri tukajaribu model ya Burkina Faso ama Rwanda kuliko kuwa na kikundi cha watu ambao hawakuchaguliwa na yeyote, lakini pamoja na fadhila hiyo ya kujikuta wapo madarakani kwa bahati nasibu wamegeuka kuwa mafedhuli na mafisadi wa kukithiri?

Ndugu zetu wa “kulinda mipaka” wana nidhamu ya hali ya juu sana katika Utendaji. Huko siku hizi kuna PhDs za kutosha siyo kama zamani, sasa why tuache nchi iharibiwe na hawa madunduka wengine? Halaf yanatamba wazi kabisa eti hayakuteuliwa kuwa yawe viongozi ili wawe maskini, really?

Nchi inapelekwa pelekwa tu na machawa na watu wenye ufahamu timamu wapo tele sijui kinachoogopwa ni kitu gani.

Mungu ibariki Tanganyika
 
1.Kata wahuni.
2. no reform no election
3. Hii ni awamu ni ya 5 na sio ya sita Kwani aliye pita chujio la chama kuwa Kiongozi ni WA awamu ya tano. Anayotaka awamu iwe ya sita apite kwenye chujio la chama , asidandie Gari la awamu ya tano, inakuwa sio Haki Kwa wengine.
 
Mfano wa Burkina Faso mzuri sana lakini simuoni Traore wa Tanzania kwenye walinda mipaka wetu.
Hata aliyesema wageni wameajiriwa nafasi nyeti nchini sasa kimya mno.
Awamu ijayo tutaongozwa na akina Mwijaku, Babu Tale, Shilole, Steve Mengele na watu wa aina hiyo.
Inasikitisha lakini sioni njia ya kuoiondoa CCM jinsi walivyo hodhi kila kitu kuanzia bunge, mahakama na ulinzi.
 
Back
Top Bottom