bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI ndugu rafiki kaka dada na jamaa zangu
Ni Ukweli usiopingika nchi yetu inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii wengi mtajiuliza Kwanini wengine mtakubaliana na Mimi na wengine mtapinga either kwa hoja matusi kejeri au kupuuza.
KWANINI NASEMA HIVYO:
Katika historia ya nchi yetu tangu mwaka wa 1992 nchi yetu iliingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi (yaani multiparty system) tangu mwaka huo nchi yetu iliandika historia mpya yakuwa na pande mbili kisiasa yaani upande wa chama tawala na upande wa pili chama au vyama pinzani.
Kwamiaka yote hiyo pande hizi mbili nchi yetu hunufaika nazo hasa upande wa upinzani ambao hutoa upinzani mkubwa katika Mambo yahovyo kiuchumi kijamii n.k katika lengo zuri la kujenga taifa letu pendwa.
Sasa tangu miaka hiyo ya 1992 nchi yetu either huwa inakuwa au inapitia katika kipindi ambacho either upande wa chama tawala (serikali) inakuwa imara au la chama pinzani (upinzani) unakuwa imara yaani katika kuleta matokeo chanya katika maendeleo yetu hata Kama siyo asilimia100.
Lakini awamu hii nikiri wazi pande zote mbili zimekuwa dhaifu kabisa yaani upande wa upinzani (Chadema & wengine) na upande wa chama tawala.
Upinzani tulio nao sasa hauna ramani Wala hawajui wasimamie wapi kuanzia uongozi wao mbaka wanachama wote wamekuwa Kama bendera fuata upepo.
Kwakumalizia wandugu tuliombee sana Taifa letu hakika Mungu atatuinua nakutusimamia.kwa ndugu zangu waislamu wanasema inshallah tutasimama imara muda ukifika
Asante.