Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia na kutukana

Sawa endelea kupiga kelele
Wenzako wanalamba asali
 
Tatizo haujaondoa root cause..., kama tunasubiri kuwatoa CCM ili ndio tuweze kuwajibisha watu au kuwabana hata kwa mambo madogo madogo na kuuliza na kuhoji basi utasubiri sana usishangae na watakaokuja kama mambo hayatakuwa yaleyale (systematically na culturally tumeoza) na Wizi / Umimi / Rushwa haipo kwenye Ilani ya Chama chochote....


 
Deni hadi Tirioni 107 yaani nusu ya aliloacha Magufuli kwa kipi kilichofanyika ndani ya miaka 4.
Wakipewa mitano tena si litafika tirioni 300.
 
Wachina kila sehemu wanachimba madini hadi uchochoroni huko kwenye mito wapo bize na wanapakua hasa sijui ndani ya miaka kumi kama Tanzania itakuwa na madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…