Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kila mtu unayemuuliza sehemu nzuri ya kuweza kufanya maendeleo africa utaambiwa tanzania ila kitu kimoja kinacho waogopesha ni hii serikali iliyopo ya ccm na kipindi kilichopita cha mwendazake.
Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu wawekezaji na watu wanaotaka uraia wanaogopa.
znz ishaona inapoteza mda na bara
Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu wawekezaji na watu wanaotaka uraia wanaogopa.
znz ishaona inapoteza mda na bara