Wengi tunafaham mabingwa wa upelelezi duniani. Wakiwemo Pakistan ,Israel, India na China (Asia). Pia U.K, FRANCE na GERMAN (EUROPE) U.S.A (AMERICA). Vipi kwetu barani Africa?
pia sisi katika kipindi cha mwalimu Tanzania ilikuwamo ni moja ya nchi hatari kwa intelligensia sababu tulifuata intelligence policies za Urusi na Islaeli - sijui nini kimetutokea miaka hii ya 2000!!
kwaida sana na siku izi vichaa wa nn wakati kuna cm,fb,sharp camera na ni rahisi kupata habari na kufuatiria kirahisi,unaweza kuwa na intelligency kubwa lakini mipango ikawa mibaya coz vitu vyote hufanywa na watu