pia sisi katika kipindi cha mwalimu Tanzania ilikuwamo ni moja ya nchi hatari kwa intelligensia sababu tulifuata intelligence policies za Urusi na Islaeli - sijui nini kimetutokea miaka hii ya 2000!!Wengi tunafaham mabingwa wa upelelezi duniani. Wakiwemo Pakistan ,Israel, India na China (Asia). Pia U.K, FRANCE na GERMAN (EUROPE) U.S.A (AMERICA). Vipi kwetu barani Africa?