joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ni wazi kwamba Kenya ni kama gari bovu lisilokuwa na dereva, nchi imepoteza muelekeo, kila mtu anafanya atakavyo, hakuna muunganiko katika serikali, Rais na Naibu wake hawapo pamoja, CJ analalamika mahakama kuhujumiwa, hili la polisi wa barabarani kupingana risasi na maafisa wa tume ya kupambana na rushwa ili wasikamatwe, ni hitimisho la serikali kusambaratika.