Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Jililieni wenyewe !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jililieni wenyewe !
Jaribuni kufunga mipaka kama hamtokufa njaa, pia mtatusaidia kuzuia majambazi na wezi toka Kenya kuingia TanzaniaTihahahaha...Hamna lenu midanganyika ovyo kabisa.Al shabaab ni nyie midanganyika,wauzaji mihadarati katika Airports zetu Midanganyika.We need to close the borders
Ninyi ambao mumewamaliza viongozi wote wa kiislam kule pwani kwa kuwapiga risasi kwa kisingizio cha ugaidi, hamzithamini wala kuziamini MAHAKAMA zenu?Si mgelianza na lissu kwanza hko kumpeleka mahakamani
Hahahaha, watalidwaje na POLISI wakati wanaohusika na mauaji ni POLISI wenyewe?, Kenya ni nchi ya mauaji kuliko zote hapa Afrika, ndio sababu inaongoza Afrika mwenye " Extra judicial killings"Waislamu wa pwani ya wapi hyo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaumwa wewe, unafikiria wajaluo na waislamu wa pwani wanaishi kw hofu boarding hku wakilindwa na wanajeshi km albino...
Utangoja sana
Bwahahaaa!!waliiluwa kw kauli zao za kuhamasisha vijana wajiunge alshabab..Hahahaha, watalidwaje na POLISI wakati wanaohusika na mauaji ni POLISI wenyewe?, Kenya ni nchi ya mauaji kuliko zote hapa Afrika, ndio sababu inaongoza Afrika mwenye " Extra judicial killings"
Ona unyama wenu ilivyo
Tumewasingizia kw ugaidi, lisu alipigwa risasi kw ajili gani?[emoji848][emoji848][emoji848]Ninyi ambao mumewamaliza viongozi wote wa kiislam kule pwani kwa kuwapiga risasi kwa kisingizio cha ugaidi, hamzithamini wala kuziamini MAHAKAMA zenu?
Hiyo ndiyo maana halisi ya nchi inayofuata utawala wa sheria, wamepelekwa mahakamani na kesi yao haina dhamana, wangekuwa Kenya tungekuwa tulishawasahau, kwasababu nchi yenu ni " Banana Republic", Kenya maisha hayana thamani, POLISI wanauwa watu vile wapendavyo na hawashitakiwi wala kuulizwa" Failed state".Bwahahaaa!!waliiluwa kw kauli zao za kuhamasisha vijana wajiunge alshabab..
Wewe km imekuuma nenda mahakamani ukafungue kesi dhidi ya wale mashekhe wa zanzibar wanozea jela...maskini, inauma sana walai nikiona muislamu mwenzangu ananyanyswa kizembe km hao mashekhe wa zanzibar
Tena umeelewa maana ya hilo neno radicals
Lisu bado yupo hai, ila viongozi wa kiisilam mumewamaliza huko Pwani.Tumewasingizia kw ugaidi, lisu alipigwa risasi kw ajili gani?[emoji848][emoji848][emoji848]
Bwahahaaa!!hao mashekhe wamefanya nn?Hiyo ndiyo maana halisi ya nchi inayofuata utawala wa sheria, wamepelekwa mahakamani na kesi yao haina dhamana, wangekuwa Kenya tungekuwa tulishawasahau, kwasababu nchi yenu ni " Banana Republic", Kenya maisha hayana thamani, POLISI wanauwa watu vile wapendavyo na hawashitakiwi wala kuulizwa" Failed state".
Kpigwa risasi kw kosa lipi, tena maeneo ya bunge cctv zote kanda zimefutwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lisu bado yupo hai, ila viongozi wa kiisilam mumewamaliza huko Pwani.
Masheikh wanahusishwa na tuhuma za Ugaidi kama mlivyowatuhumu Makaburi na Rogo, huku kwetu wamepelekwa mahakamani, ile huko kwenu wamepelekwa kaburini.Bwahahaaa!!hao mashekhe wamefanya nn?
Azwory nae mlimpeleka mahakama gani,
Aliyemuua akwelina amepelekwa mahakama gani...
Lisu nae kafanya nn mpka mkampiga risasi
Jacob Juba na Chris Msando wako wapi?, Kazi yenu kuuwa raia wenu hovyo, ndio sababu Mnaongoza Africa kwenye "Extra judicial killings"Kpigwa risasi kw kosa lipi, tena maeneo ya bunge cctv zote kanda zimefutwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si angalau mngelimteka muntia ndani ya kiroba
Kama vile mliwapeleka Aquillina, Ben Saanane na Lissu mahakamani?Hiyo ndiyo maana halisi ya nchi inayofuata utawala wa sheria, wamepelekwa mahakamani na kesi yao haina dhamana, wangekuwa Kenya tungekuwa tulishawasahau, kwasababu nchi yenu ni " Banana Republic", Kenya maisha hayana thamani, POLISI wanauwa watu vile wapendavyo na hawashitakiwi wala kuulizwa" Failed state".
Heheeee!!tatizo wale mazingira waliyouliwa sio tatanishi...Jacob Juba na Chris Msando wako wapi?, Kazi yenu kuuwa raia wenu hovyo, ndio sababu Mnaongoza Africa kwenye "Extra judicial killings"
Watuhumiwa watakaaje jela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masheikh wanahusishwa na tuhuma za Ugaidi kama mlivyowatuhumu Makaburi na Rogo, huku kwetu wamepelekwa mahakamani, ile huko kwenu wamepelekwa kaburini.
Wote wanatuhumiwa kwa ugaidi, tofauti ya Makaburi na Rogo wao walizaliwa ktk nchi ambayo ni " Failed state" ndio sababu waliuliwa, hawa masheikh huku wanabahati wamezaliwa ktk nchi inayofuata utawala wa sheria, ndio sababu hadi Leo wapo mahakamani na wako hai.
Kule kwa "Mungu" wenu Marekani, watuumiwa wa ugaidi kule Guantanamo bay wamekaa miaka mingapi?. Ninyi hata mahakamani hamuwapekeki badala yake mnawapiga risasi barabarani. Failed state ninyi.Watuhumiwa watakaaje jela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka yote hyo mnawatuhumu tu,hao havari yao kwisha ndo wameshapotezwa hvyo
Who is a failed satanic state than a danganyikan state.Where cannibals are free to hunt and eat humans.Nyinyi hata afadhali mikate ingezaliwa tule.You are not humans.IdiotsKule kwa "Mungu" wenu Marekani, watuumiwa wa ugaidi kule Guantanamo bay wamekaa miaka mingapi?. Ninyi hata mahakamani hamuwapekeki badala yake mnawapiga risasi barabarani. Failed state ninyi.
Ni wazi kwamba Kenya ni kama gari bovu lisilokuwa na dereva, nchi imepoteza muelekeo, kila mtu anafanya atakavyo, hakuna muunganiko katika serikali, Rais na Naibu wake hawapo pamoja, CJ analalamika mahakama kuhujumiwa, hili la polisi wa barabarani kupingana risasi na maafisa wa tume ya kupambana na rushwa ili wasikamatwe, ni hitimisho la serikali kusambaratika.
Mnakula nyama ya Jaluo kama simba anavyokula nyatiWho is a failed satanic state than a danganyikan state.Where cannibals are free to hunt and eat humans.Nyinyi hata afadhali mikate ingezaliwa tule.You are not humans.Idiots