Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Hao wanaodungua ndege zao kila kukichaEthiopia
Aawapii Uganda waliowanyang'anya Migingo? Nadhani Somaliland ndo jirani Mkubwa wa Kenya!Ilikuwa Tanzania, Lakini kwa sasa nadhan nafasi hiyo imechukuliwa na Uganda
Ethiopia hutungua ndege za NyangauEthiopia
Hamna siku hata moja ambayo Tanzania imewahi kuizidi Uganda kwa urafiki wa karibu na Kenya. Maana urafiki wa Kenya na Uganda ulianza zamani wakati wa mabeberu. Tanzania pengine ni ya pili kwa umuhimu kwetu na hii inachangiwa sana na the fact that Kenya na Tanzania sote tunazungumza lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi ya taifa.Ilikuwa Tanzania, Lakini kwa sasa nadhan nafasi hiyo imechukuliwa na Uganda
Kwani kisiwa cha ekari moja tu ndicho kinachoweza kufanya urafiki kati ya Kenya na Uganda kuharibika? Halafu issue ya migingo ni ya juzi tu ilhali urafiki wa Kenya na Uganda ni wa zaidi ya miaka 120. Hususan urafiki wa kibiashara maana mabeberu walikuwa wanalima kahawa ndani ya nchi zote mbili na kuziexport kupitia bandari ya MombasaAawapii Uganda waliowanyang'anya Migingo? Nadhani Somaliland ndo jirani Mkubwa wa Kenya!
Huu ndiyo ukweli thabitiHamna siku hata moja ambayo Tanzania imewahi kuizidi Uganda wa urafiki wa karibu na Kenya. Maana urafiki wa Kenya na Uganda ulianza zamani wakati wa mabeberu. Tanzania pengine ni ya pili kwa umuhimu kwetu na hii inachangiwa sana na the fact that Kenya na Tanzania sote tunazungumza lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi ya taifa.
Kwa Tanzania tungekua na undugu ila sijui ni ujamaa au kitu gani maana hamuendani na yeyote, mpo tu wenyewe, licha ya nyie kumwaga damu nyingi kwa kile mliita kuikomboa Afrika lakini hakuna nchi moja mnayoendana nayo. Na kwa awamu hii ya tano ndio mlikalia kuti kavu kabisa maana mumeboronga kidiplomasia kote kote.
Kenya imepakana na Rwanda kivipi?Kenya imezungukwa na nchi nyingi
1. Somalia
2. South Sudan
3. Uganda
4. Tanzania
5. Rwanda
Kati ya nchi hizo Ni Nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo
Kwa taarifa yako cargo ya Uganda imekuwa ikipitishwa 80% Kenya kuanzia 1980s ila kabla ya hapo tulikuwa tunagawana!Uganda. Kuna sababu nyingi za Kenya na Uganda kuwa na muingiliano mzuri. Kuanzia historia ambapo Mabeberu kutoka Britain walitawala Kenya na Uganda kwa pamoja. Uganda ikiwa protectorate ya kuzalisha chakula na Kenya ikiwa colony, yaani makaazi ya wazungu. Tuna makabila mengi ambayo yapo pande zote za border kama kabila la Teso na makabila mengine. Halafu kibiashara pia tunatangamana na Uganda kwa undani sana. 80% ya Ugandan imports inapitia Bandari ya Kenya. Tuna reli iliyojengwa na beberu kutoka Mombasa hadi Kampala. Reli hii imefanya Kenya na Uganda zifanye biashara pamoja kuanzia enzi za ukoloni. Halafu Uganda ni kati ya nchi tatu bora zinazonunua bidhaa za Kenya kwa wingi (Uganda is top three export destination for Kenyan products.).Halafu kuna repoti iliyotolewa juzi inayosema kuwa wakimbizi wengi wanaoishi Kenya wana uraia wa Uganda.
Sidhani kama tulikuwa tunagawana Cargo kabla ya 1950s maana sidhani kama transport corridor kati ya UG na TZ ilikuwa nzuri wakati ule. Pengine after Uganda kupata Uhuru wao 1962 ndio cargo ikaanza kupitishwa Tanzania. Lakini sina uhakika. Halafu nini ilifanya Uganda wapunguze kuimport cargo yao kupitia TZ?Kwa taarifa yako cargo ya Uganda imekuwa ikipitishwa 80% Kenya kuanzia 1980s ila kabla ya hapo tulikuwa tunagawana!
I am talking after independence!Sidhani kama tulikuwa tunagawana Cargo kabla ya 1950s.