Uchaguzi 2020 Nchi ipo kwenye tope. Tumekwama kwa miaka mingine mitano, au zaidi...

Pascal kwani nyinyi wavamizi mbona hamjamaliza mauwaji mnakuja na kuweka vibaraka vyenu kwenye nafasi za uwaziri ?





View attachment 1616052
I don't believe this !.
P
 
Safi sana umeandika vema
 
Umeongea kweli tupu... kwa vile binadamu wa aina yako wameamua kuishi kinyama, then, lengo lako kuu ni "kusurvive".

Safi bwana.
 
Si ajabu Bashite wakati huu anapanga timu!
 
Ndani ya miaka mitano ya utawala haramu huu tutashudia tukio kubwa sana kuwahi kutokea. Tusubiri
 
Fck you
 
Umemsoma mleta mada, lakini kama ilivyokawaida ya wenye njaa hakuna la kushangaza hapo.
Bahati nzuri dunia haina watu wa aina hii wengi.
Isome tena mada yake hasa hiyo mistari yake ya mwisho.

Dunia ingekuwa tambara bovu sana kama watu wa aina yako ndio wangekuwa wana 'influence' matukio.
 
Huenda nikaiga mbinu zako ili niweze 'ku-survive'.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona unahalalisha uchumia tumbo wako
Endelea kupiga spana ngosha, jamaa yako kapewa mingine this time atakuona, perhaps.
 
Nchi haijakwama,bali upinzani walijikwamisha 2015.
 
Rudisha internent huo ndio ujinga waliofanyika kazi za watu zinasimama kisa ujinga hatujali nani anaongoza nchi au ambaye anataka kusimamia ujinga tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…