Nchi jirani zetu wanawashwa sana

Nchi jirani zetu wanawashwa sana

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Hawa wenzetu wanapenda kutumia advantage ya vivutio vya Tanzania kurubuni wageni waende nchi yao. Kwanini msiandike masaimara, Tsavo etc. za kwenu?

Acheni ulimbukeni!

Screenshot_20200607-102604_Gallery.jpeg
 
Wanatutangazia mbuga za utalii kwasababu Sisi hatuna ndege nyingi kama wao . Hiyo ni kawaida tuu tena tuwashukuru
 
Wanatutangazia tu hao achana nao! Mradi akitaka kuiona hiyo ngorongoro crater atakuja huku,atakula na kulala huku na mapato yataingia huku.
 
Acha ujinga, mbona ndege za Uholanzi KLM pia wameandika hivyo na haulalamiki? Isitoshe Kenya airways ndege nyingi inazotumia za nje wako ubia na KLM hivyo aliyeandika hivyo ni Muzungu na siyo Mkenya, umefurahi sasa?
 
Nimekutana na mzungu aliyeambiwa you can view mount kilimanjaro ipo kwenye wakapiga ela yake. Mzungu alipotaka kupanda wakamwambia you can hike well on the side of Tanzania. So wengi wanakuja Kenya wakijua mount Kilimanjaro ipo Kenya.

Biashara haigombi ila uwe mkweli
Wanatutangazia mbuga za utalii kwasababu Sisi hatuna ndege nyingi kama wao . Hiyo ni kawaida tuu tena tuwashukuru
 
You can easily view mountain Kilimanjaro when your ata Nairobi.
 
Hawa wenzetu wanapenda kutumia advantage ya vivutio vya Tanzania kurubuni wageni waende nchi yao. Kwanini msiandike masaimara, Tsavo etc. za kwenu?


Acheni ulimbukeni!View attachment 1470766
Sisi ndege zetu zimeandikwa "Hapa kazi tu" 🤣

Majirani wameona gap wanalitumia vizuri kama fursa ,
Sisi tuna waziri wa hovyo anayetumia mamilioni ya kodi zetu kuwalipa kina Ebitoke na Stive nyerere eti watutangazie utalii 🤣
 

Mt. Kilimanjaro - Kenya
 
Nimekutana na mzungu aliyeambiwa you can view mount kilimanjaro ipo kwenye wakapiga ela yake. Mzungu alipotaka kupanda wakamwambia you can hike well on the side of Tanzania.
So wengi wanakuja Kenya wakijua mount kilimanjaro ipo Kenya.

Biashara haigombi ila uwe mkweli
Na utandawazi huu kuna ambao bado wanajua ni Kenya! Mimi sijawahi kukutana nae wa hivyo
 
Wanatutangazia mbuga za utalii kwasababu Sisi hatuna ndege nyingi kama wao . Hiyo ni kawaida tuu tena tuwashukuru
Tumia nafsi ya kwanza umoja, Hamna msaada wowote vipi ushawahi sikia South Africa 🇿🇦 wakiwasaidia Zimbabwe 🇿🇼 kutangaza Victoria falls.
 
Katika biashara shindani za kimataifa kila nchi hutafuta namna ya kukamata na kumiliki soko. So usitegemee mtu akutangazie bure kama hanufaiki nayo. So usibweteke kuwa wanatutangazia bure.

Tena angalia video hapa chini waliposema Mt. Kilimanjaro ipo Kenya
 
Huo mlima lazima tuupigie hela, wazungu waligawana kama zawadi wakachora chora mipaka yao, mtakoma ubishi, yaani tu basi...
 
Haya ndo matokeo ya kusema wanatutangazia
 
You can easily view mountain Kilimanjaro when your ata Nairobi
Kwahyo kumchungulia mke wa mtu akioga CHOONI kupitia dirishani kwako, ndy kujihalalisha ni MKEO?kuonekana kirahisi kutoka Nairobi bado haihalalshi mlima ni wa Kenya.
 
Pigeni maana ina mwisho wake tena sio mbali. Hivi hamshangai mna "Uhuru" lakini hakuna uhuru wa kutembea usk, wakatI Sisi tuna "Magufuli" lakini tunakula bata batani
Huo mlima lazima tuupigie hela, wazungu waligawana kama zawadi wakachora chora mipaka yao, mtakoma ubishi, yaani tu basi...
 
Ni kawaida kutangaza vivutio vya nchi tofauti ili kupata biashara zaidi
Hata Emirates wameweka ndege yao unapoingia Heathrow kwenye roundabout na limechorwa wanyama wetu wote kasoro ngamia [emoji23]
Yote hiyo kwa sababu wana Safari zao nyingi kwetu na hapo ndio mchezo mzima
 
Back
Top Bottom