Nchi jirani zetu wanawashwa sana

Nchi jirani zetu wanawashwa sana

Ethiopian wameandika pia Mount Kilimanjaro na kibao tu
 
Ni kawaida kutangaza vivutio vya nchi tofauti ili kupata biashara zaidi
Hata Emirates wameweka ndege yao unapoingia Heathrow kwenye roundabout na limechorwa wanyama wetu wote kasoro ngamia [emoji23]
Yote hiyo kwa sababu wana Safari zao nyingi kwetu na hapo ndio mchezo mzima
UAE 🇦 sio washindani wa Tanzania kwenye utalii , Hata wakichora wanyama hamna Mzungu atakaye enda UAE kwa ajili ya kutazama wanyama.
 
UAE 🇦 sio washindani wa Tanzania kwenye utalii , Hata wakichora wanyama hamna Mzungu atakaye enda UAE kwa ajili ya kutazama wanyama.

Naona hujanielewa hapo
UAE wanaweka vivutio vyetu kwa sababu moja tu ili watu wajue wanakuja kwetu pia na wao wanatengeneza hela kupitia utalii
Kenya ndege zao zinakuja kwetu ndio maana wanaweka na Ngorongoro
Hata sisi kama tukiandika Nairobi ni sawa maana tunaenda huko na watalii watajua zaidi
Biashara lazima uwe aggressive na kutumia mbinu zote Mkuu
 
Back
Top Bottom