Nchi jirani zetu wanawashwa sana

Ethiopian wameandika pia Mount Kilimanjaro na kibao tu
 
UAE 🇦 sio washindani wa Tanzania kwenye utalii , Hata wakichora wanyama hamna Mzungu atakaye enda UAE kwa ajili ya kutazama wanyama.
 
UAE 🇦 sio washindani wa Tanzania kwenye utalii , Hata wakichora wanyama hamna Mzungu atakaye enda UAE kwa ajili ya kutazama wanyama.

Naona hujanielewa hapo
UAE wanaweka vivutio vyetu kwa sababu moja tu ili watu wajue wanakuja kwetu pia na wao wanatengeneza hela kupitia utalii
Kenya ndege zao zinakuja kwetu ndio maana wanaweka na Ngorongoro
Hata sisi kama tukiandika Nairobi ni sawa maana tunaenda huko na watalii watajua zaidi
Biashara lazima uwe aggressive na kutumia mbinu zote Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…