Nchi kadhaa duniani zaanza kuchukua hatua dhidi ya Israeli juu ya operesheni yake ya kijeshi huko Rafah ambayo yaua wapestina wengi

Huyu afrika kusini anakiherehere, nchi yake tu ameshindwa kuzuia uhalifu anakaza kushindana na Israel. Yaan atavunjwa vunjwa vipande vipande
 
Haya Mayahudi ni majitu majinga sana. Badala ya kupambana na wababe wao Hamas! Yenyewe yako busy kulipua majengo na kuua raia wasio na hatia, kwa kisingizio cha kupambana na hao Hamas.
Askari 249 wa Israel wameshauwa tangu kuanza operation, je wameuliwa na raia?
 
Israel inaonea mataifa machanga, kama wana ubavu waje wapigane na Jeshi la wananchi wa Tanzania waone kitakachowapata.
 
Askari 249 wa Israel wameshauwa tangu kuanza operation, je wameuliwa na raia?
Hata wangeuwawa na mbwa, bado itabakia kuwa ni haki yao. Maana Mayahudi hawana faida yoyote ile hapa duniani.
 
Israel forever will reign
 
Ufuatao ni uharibifu mkubwa ambao umefanywa na Israeli ndani ya Gaza tangia mwezi october mwaka jana na baada ya mahakama ya umoja wa mataifa (ISJ) kusikiliza shauri lilotolewa na Afrika Kusini juu ya yanofanywa na Israeli huko Gaza.

Kwanza asilimia zaidi ya 70 ya makazi ya wapelestina yameharibiwa vibaya kwa mabomu ya majeshi ya IDF.

Miundombinu ifuatayo nayo imevunjwa kufikia kifusi.

1. Nyumba za makazi ya wapalestina zipatazo 360, 000

2. Sehemu za ibada zipatazo 269 magari ya wagonjwa yapatayo 123 vimeharibiwa.

3. Shule 281 za serikali ya Gaza na shule 65 zinoendeshwa na Unrwa zote zimeharibiwa au sehemu fulani.

4. Hospitali moja kati ya 35 ndo yafanya kazi kwa ufanisi zingine zikiwa zimeharibiwa kwa mabomu.

Je, hii miundombinu yote yahusika vipi na kuwatafuta walipo wapiganaji wa Hamas?
 
Anaetia huruma nani kijana ukishapewa baraka unaona sifa kuita watu majina ya hovyo
Hamas waliua magaidi na lile lilikua ni jambo la kupongezwa kuanzia siku ile leo kesho mpaka kiama
wale wacheza disco ndo magaidi ? kama wale ni magaidi basi tulien mzigo uwaingie vzr , Netanyau hana mdhaha na wavaa kobaz
 
Haya Mayahudi ni majitu majinga sana. Badala ya kupambana na wababe wao Hamas! Yenyewe yako busy kulipua majengo na kuua raia wasio na hatia, kwa kisingizio cha kupambana na hao Hamas.
kama hamas hawafi , mbona hawapigi hatua kuwarudisha nyuma wayaudi ?
 
Kuna uzi ulikuja humu kuwa Hamas inashinda vita na kuwachinja mazayuni. Imekuwaje tena?

Hii propaganda tu na uzushi
 
Lakini ushujaa wa hamas nimeushuudia kwa Israel kupewa misaada kwa ajili ya wanamgambo hamas wamejitahidi sana tu alafu na hao magharibi ni wanafiki tu wanaoidhinisha matrilioni ya pesa alafu wanakuja kwenye midia kuongea unafiki bila aibu
 
Netanyahuu hacheki na kima safari hii alishawaambia hakuna wakuwazuia kuwafuta Hamas
 
Sikiliza hiyo, wewe

View: https://x.com/amjadt25/status/1758202887232974967?s=20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…