Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

acha tubaki na MAFI yetu nyumbani
 
Mkuu basi hizo chanjo tuzipinge kisayansi na sio kwa hotuba kama yako hapo juu. Ndani ya sayansi kuna Mungu.
Mungu anajibu maombi na pia hufanya kazi kupitia mkono wa binadamu. Na akifanya anataka utukufu ubaki kwake (Glory to God)
Mungu alitenganisha bahari ili Waisrael wavuke na kuwakimbia Wamisri utumwani. Mungu hakupasua tu bahari bali alimuuliza kwanza Musa , mkononi una nini? Akasema , inua mkono wako upige kwenye maji kwa hiyo fimbo yako. Akafanya hivyo na maji yakaachia njia. Inawezekana wenzetu wanafimbo ya kupasua maji, basi tuwasikilize maana tuliona tumevuka lakini ni dhahiri tuna bahari bado mbele yetu.
Yeah! Umeongea vizuri afadhari maana mwanzoni ulokuwa kama una chuki ya wazi as if sisi hatukufanya juhudi. Sema nashauri serikali ianze kuwekeza kwenye utafiti wa hali ya juu.
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu?
Wewe umerogwa siyo bure! Can you mention that is nothing? Don't you know that 'what is, is. I mean what is, does exist!

Nakusaidia formula ya existence. A thing and a word what becomes first, is a thing of course. A word phone became after a thing presented by the name phone has been in existence.

Same formula is applicable to words like God, Angels, to mention but few. A word GOD came into existence after a thing presented by the word being into existence.

Wewe ulizaliwa kisha ukapewa jina,hivyo wewe ulikuwepo ndo jina lako likaja, Mungu ni neno linalowakilisha litu, lazima hicho kitu kiwepo ndo kipewe jina hilo 'Mungu'.

Wote twatambua kuwa Mungu ana nguvu kuliko akili zetu, kwanini akili zetu ndogo ziweze kuwaza kwamba kuna kitu kinatuzidi akili? Ni kitu hicho-hicho ndo kimeipa akili zetu kuwaza hayo!

So,the moment you mention 'GOD' that means he does exist.
 
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi.

Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona

Pia shirika la afya duniani litatoa vitambulisho kwa wale watakao chanjwa ili wasitiliwe mashaka iwapo wataenda nchi nyingine.

Na vile vile kupata visa kuingia nchi nyingine siyo muda mrefu kuanzia sasa litakuwa ni sharti mhimu bila kuchanja no visa

Chanjo ni nini? Chanjo ni tone kidogo sana ambalo mtu hupewa aidha kwa kulamba au kupigwa sindano kwa madhumuni ya kuamsha uzalishaji wa askari wa kulinda mwili zidi ya ugonjwa huo huo, chanjo huwa ni vimelea vya ugonjwa huo huo unaochanjwa dhidi yake ila vimelea hivyo huwa vimepunguzwa nguvu sana kiasi haviwezi kuleta madhara zaidi tu ya kuamsha uzalishaji wa chembe chembe nwilini ambazo hupigana na vimelea vingine ambavyo vinasababisha ugonjwa husika.

Kwenye clinic za mama na mtoto hutolewa chanjo zinazofanana na Corona yaani chanjo zinazokinga magonjwa yanayosababishwa na virus mfano Surua. Hapa nchini watoto wamekuwa wanachanjwa zidi ya ugonjwa wa surua muda kidogo tangu tupate uhuru hadi sasa chanjo hiyo hutolewa clinic zote za mama na mtoto nchini, kwa hiyo suala hilo la chanjo siyo geni.

Pia kuna chanjo ya kichaa cha mbwa. Kichaa cha mbwa husababishwa na virus, mbwa huuguwa na kuweza kumuambukiza binadamu kwa kumng`ata. Ili binadamu asiuguwe huchanjwa chanjo zidi ya ugonjwa huo. Chanjo hiyo ni virus vya ugonjwa huo huo ambapo huwa vimepunguzwa nguvu kiasi haviwezi kuleta madhara hasi zaidi ya kuhamasisha uzalishashaji wa kinga mwilini endapo virus vingine vya ugonjwa huo vikiingia mwilini, na ikumbukwe kwamba kama mtu akiumwa na mbwa mwenye kichaa asipochanjwa akiuugua kifo huwa ni asilimia mia moja.

Kwa hiyo hata chanjo zidi ya ugonjwa wa Corona ni vimelea hivyo hivyo vya Corona ila vimepunguzwa nguvu sana kiasi haviwezi kuleta madhara ya mtu kuugua Corona bali kuhamasisha mwili kuzalisha chembe chembe nyingiii za kupigana na ugonjwa huo. Kwa hiyo mtu akichanjwa chanjo ya CORONA mwili huwekwa teyari endapo ataambukizwa virus vya Corona virus hivyo hupigwa kipigo kikali na chembe chembe kinga na virus huangamizwa haraka bila hata mhusika kujua kama ameambukizwa.

Nimeandika kwa kirefu kupinga wapotoshaji ambao eti wanadai wazungu wametengeneza chanjo ya Corona kwa nia ovu, siyo kweli ni kwa nia nzuri sanaaa. Mpotoshaji mmoja aliweka bandiko lake la upotoshaji MODS wakalitoa haraka sana ila mimi nilibahatika kulisoma na hii hapa ndiyo majibu yake.

Ingekuwa dunia hii tunaishi peke yetu sawa tungeweza tukapuuza chanjo kwa vile tunazitilia shaka ingawaje hatukutilia shaka kikombe cha babu au dawa za kujikinga na Corona toka Madagascar, sasa hatuishi peke yetu inatakiwa tuende sambamba na wenzetu vinginevyo watatutenga, sasa tukitengwa tutakuwa wageni wa nani?

Mungu huwa hajibu maombi bali hujibu jitihada za mtu aliyeomba, unafanya jitihada fulani halafu unaomba mungu abariki jitihada hizo ziweze kuleta mafanikio.

Aksanteni sana Mwenyezi Mungu awabariki.
Bila mzungu aka BEBERU tungekuwa tushateketea wote.
 
Wewe umerogwa siyo bure! Can you mention that is nothing? Don't you know that 'what is, is. I mean what is, does exist!

Nakusaidia formula ya existence. A thing and a word what becomes first, is a thing of course. A word phone became after a thing presented by the name phone has been in existence.

Same formula is applicable to words like God, Angels, to mention but few. A word GOD came into existence after a thing presented by the word being into existence.

Wewe ulizaliwa kisha ukapewa jina,hivyo wewe ulikuwepo ndo jina lako likaja, Mungu ni neno linalowakilisha litu, lazima hicho kitu kiwepo ndo kipewe jina hilo 'Mungu'.

Wote twatambua kuwa Mungu ana nguvu kuliko akili zetu, kwanini akili zetu ndogo ziweze kuwaza kwamba kuna kitu kinatuzidi akili? Ni kitu hicho-hicho ndo kimeipa akili zetu kuwaza hayo!

So,the moment you mention 'GOD' that means he does exist.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu?

Hujathibitisha. Unapagawa tu.

Kwa "logical non sequitur" iliyojikita katika "deus ex machina".

Unasema kitu kikitajwa lazima kipo.

Katika Euclidean geometry, nikisema kuna pembetatu ambayo pia ni duara, hiyo pembetqtu ambayo ni duara itakuwepo?

Itakuwa na nyuzi ngapi?
 
Nitajaribu kuieleza sayansi hii kwa njia na lugha nyepesi ili jamii ipate mwanga suala hili ambalo kisayansi ni complex. Lengo ni kuelimishana ili kupunguza mihemuko na mivurugano tunayoishuhudia kwa sasa hasa kwa baadhi ya wanasiasa na viongozi mbali mbali wa kijamii na wenye taaluma ya habari.

Atakayeweza kusoma nakala hii ndefu anakaribishwa.

1. Nitaanza na vinasaba (genes):
Miili ya viumbe hai ina undwa na chembe chembe ndogo sana zinazoitwa seli (cells). Binadamu ana matrillion ya seli. Seli hizi zinafanya kazi mbali mbali za kuwesha kuishi (metabolism). Kila seli ina nukleasi iliyozungukwa na saitoplasm. Kwenye nukleas kuna molecules za Deoxyriboncleic acid - kifupi chake DNA. Kila seli ya binadamu ina DNA zipatazo billion 3 zilizobebwa kwenye mikufu (chromosomes) 46 ndani ya nukleas.

Taarifa zote za jinsi miili yetu inavyojengeka na kufanya kazi inabebwa kwenye hizo DNA. Kazi zote za miili yetu inafanyika kwenye saitoplasm ya seli zetu. Yaani kwenye saitoplasm ndiko kwenye viwanda mbali mbali vya kuiwezesha miili yetu iishi na kufanya kazi zote vizuri.

Kazi zote zinazofanyika kwenye kwenye saitoplasm zinafanyika kwa maelekezo na usimamizi wa DNA. Ili DNA iweze kusimamia kazi inayofanyika kwenye saitoplasm huwa inatengeneza molecule ya Ribonucleic acid - kwa kifupi RNA na kuituma huko kwenye saitoplasm kwenda kusimamia kazi husika. Hivyo inaitwa messenger RNA - kwa ufupi mRNA.

DNA ilivyumbuliwa mwaka 1953. Huu ulikuwa ni uvumbuzi wa siri ya maisha kwani siri zote za uhai na jinsi kila seli ya mwili inavyofanya kazi zimebebwa kwenye DNA. Baada ya sayansi mpya ya uhandisi wa vinasaba (genetical engineering) kuendelea (advance), kwa kipindi cha miaka 13 kuanzia mwaka 1990 hadi 2003 wanasayansi toka sehemu mbali mbali duniani walifanikiwa kuzing'amua (decode) siri zote za DNA zote billion tatu zilizoko kwenye seli za mwili wa binadamu. The entire human genetic code was decoded/ revealed. Ziko kwenye ving'amuzi vya maabara mbali mbali za uhandisi wa vinasaba.

Kuanzia hapo wanasayansi wameendelea kucheza na hizo vinasaba vya DNA ili kuweza kuangamiza baadhi ya magonjwa kwenye seli za binadamu hususani ya saratani kama ya kongosho (pancreas cancer) na ya baadhi ya virusi kama virusi vya Zika vilivyogundulika huko Uganda mwaka 1947 kwenye msitu wa Zita vikienezwa na mbu Aedes.

Pamoja na kuonesha matokeo mazuri sana katika tiba za maradhi haya, hadi sasa kwa kipindi cha mwongo mmoja mamlaka za FDAs zilishindwa kuzipa kibali tafiti hizi kuendelea na phase 2 ya clinical trials za watu wengi zaidi. Wasi wasi ukiwa ni athari ya muda mrefu ambayo inaweza kutokea kwenye vinasaba (DNA) ya seli ya binadamu.

2. Virusi ni vitu gani:
Virusi ni vimifuko ya vipande vidogo sana ya vinasaba (genes). Kuna virusi ambavyo genetic material yake ni DNA tupu na zingine ambazo ni za RNA tupu. Kirusi cha ukimwi ni cha RNA chenye genetic code 9 tu. Kirusi cha coronavirus nacho ni cha RNA na kina genetic codes 56.

Seli ya kirusi haina saitoplasm. Yaani hizo RNA au DNA zake zimehifadhiwa kwenye gamba (envelope) la protein. Kwa coronavirus gamba hili la protein ni la duara lenye miiba midogo midogo mingi (spike protein). Maji ya sabuni (soapy water) huweza kulisambaratisha (denature) gamba hili kwa urahisi na kukiua kirusi hiki. Ndiyo sababu ya kuwashauri watu kunawa mikono yao kwa sabuni mara kwa mara. Pia joto la nyuzi 45 hadi 56 C kwenye mazingira ya unyevunyevu huweza kulisarambaratisha gamba hili. Hii nayo ndiyo sababu ya tafiti mbali mbali duniani ambazo zimeweza kuonesha faida ya steam inhalation therapy ambao kwetu tunaita kujifukuzia.

Kwa kuwa virusi havina saitoplasm ili viweze kuzaliana zinahitaji kuingia kwenye seli za kiumbe kingine chenye saitoplasm. Hivyo zinaingia kwenye seli ya binadamu kwa lengo la kwenda kuzaliana. Kikishaingia kwenye seli ya binadamu genes ya virusi hivi huchukua kamandi ya maelekezo na usimamizi wa viwanda vya saitoplasm. Vinaamurishwa kufanya kazi ya kuzalisha virusi tu. Kazi zingine zinasitishwa. Hivyo seli zizovamiwa na virusi hivi zinageuzwa kuwa viwanda vya kufyatua virusi tu na vikishafyatuliwa vinavyamia seli zingine. Seli za askari wa mwili (immune cells - B lymhocytes, T lymphocytes, macrophages, Killer cells, cd4 cells etc) zinaingia vitani ambayo matokeo yake ni kifo au kupona.

3. Chimbuko la chanjo za SARS-CoV-2
Baada ya mlipuko mkubwa wa SARS (kiswahili chake Changamoto la Upumuaji) wa kirusi cha CoV-2 au coronavirus wa pili huko Wuhen, China mwezi Nov 2019 wahandisi mahiri wa vinasaba waliingia kazini kumchakata huyu kirusi. Hadi March 2020 wakawa wameweza ku decode the entire genetic code ya kiumbe hiki kidogo ambacho hadi wakati huo hakuna aliyekuwa anazijua hapa duniani. Mchina angeweza kukaa na king'amuzi hicho kwa siri peke yake maana ilikuwa ni uvumbuzi mkubwa wa siri ya maisha ya kirusi hiki. Lakini kwa upendo wa kipekee aliamua kuwasambazia bure maabara zote kubwa za genetic engineering ulimwenguni. Maabara hizi zilipokea kwa furaha ving'amuzi hivi na mara moja kuanza kucheza na vinasaba za kirusi hiki ili kupata dawa au chanjo ya kumwangamiza.

Bahati mbaya au nzuri zilijielekeza zaidi kwenye genetic code ya gamba la mdudu huyu - the spike protein genome. Ziliona hapo ndipo rahisi kummaliza mdudu huyu. Clinical trials zikafanyika haraka haraka. Ilikuwa ni fursa kwa tafiti zao za tiba kwa njia ya vinasaba zilizokuwa zimekwamishwa na FDAs zao kwa miaka mingi sasa kupewa ruhusa angalao ya dharura. Hadi kufikia December 2020 zikawa zimepata hiyo emergency approval na kuanza mass vaccination ya watu wote duniani kama phase IV clinical trial.

Cha kushangaza Mchina ambaye ugunduzi wake wa vinasaba ndiyo ulipelekea utengenezaji wa hizo chanjo, yeye chanjo yake haikutumia teknolojia hiyo. Yeye chanjo yake inatumia kirusi chote (the whole virus with its entire structure including the entire genome intact) kilichopunguzwa makali kama ambavyo zilivyo chanjo za magonjwa mengine tulizozizoea.

Chanjo hizi za wengine ni kama ifuatavyo:

- Pfizer na Modern: Hizi saitoplasma ya seli za binadamu inaingiziwa mRNA kuiamuru izalishe magamba (spike proteins) ya virus vya corona. Unapata kinga dhidi ya magamba yake na hivyo hataweza kuingia tena mwilini mwako kama ataendelea kubaki na gamba lile lile. Ndani ya muda mfupi imeonekana kwamba gamba la kirusi hiki ni kama la kinyonga. Hujibadilisha mara kwa mara kutegemea na mazingira. Kwa muda mfupi zaidi ya aina 7 ya magamba haya yamegundulika - kuna South Africa variant, UK variant, Brazil variant, na majuzi Kenya variant na kadhalika.

Chanjo hizi za mRNA ni ngumu kuzitunza kwani zinahitaji ubaridi wa -20 C kwa Moderna na -70 C kwa Pfizer.

- Johnson & Johson, AstraZeneca na Gamaleya (Spunik V from Russia):
Ili kutatua tatizo la uhifadhi, chanjo hizi zinatumia DNA adenoviruses zilizofanyiwa engineering kubeba ndani yake gene ya spike protein ya CoV-2. Tofauti kati yake ni aina za hizo adenovirus zilizotumika kama kibebeo. Ile ya Astra Zeneca inatumia kirusi cha mafua ya sokwe (chimpanzee flue virus). Ile ya Urusi ina viral vector mbili (Ad26 na Ad5). Ile ya J & J ina viral vector Ad26.

- Efficacy ya chanjo hizi kwa matokeo ya phase III clinical trials: Moderna 94%, Pfizer 95%, Gamaleya 91.4%, AstraZeneca 62%, Johnson & Johnson 62%.

4. Coverage ya chanjo huko ughaibuni:
Zoezi la chanjo huko ughaibuni na america lilianza mwanzoni mwa mwezi December 2020. Lilienga kuanza kwa wale waliokwenye hatari zaidi ya kupoteza maisha kwa gonjwa hili ambao ni wanaohudumia wagonjwa hawa mahospitalini, wazee wenye umri zaidi ya miaka 70 na wenye magonjwa hatarishi km kisukari, magonjwa ya moyo au figo au maini, saratani na ukimwi.

Hadi kufikia tarehe 4 March ni wastani wa asilimia 5 tu ndiyo walioweza kuchanjwa ndani ya muda huo wote wa miezi mitatu pamoja na hamasa kubwa iliyofanyika na inayoendelea kufanyika. Sababu kubwa ni wasi wasi walionao wananchi pamoja na baadhi ya wanasayansi wao kuhusu chanjo hizo zinazocheza na vinasaba za genes zao. Bado kuna vitu vingi havijajulikana kisayansi. Kwa mfano unaambiwa hata ukichanja lockdown, kuvaa barakoa na mambo mengine unaendelea nayo kama awali. Yaani hata hiyo efficacy yake hawaiamini.

Halafu wanaona kabisa licha ya kuchanja gonjwa hili badala ya kupungua huko kwao limekuwa likiongezeka. Kwa nini?
Vaccination coverage kwa baadhi ya nchi zao ni kama ifuatavyo:

USA 7.7%, Belgium 7.2%, Italy 7.8%, France 7.1%, Netherland 5.9%, Russia 3.7%, Bulgaria 3.5%, Sweden 8.1%, Germany 8.1%, Spain 8.6%, Portugal 8.8%, Greece 9.5%,

5. Huu upendo kwa nchi za Afrika umetokea wapi?:
Wakati kasi ya coverage ya chanjo kwenye nchi zao zimekuwa za kusuasua, sisi wametuandama tuchanjane haraka. Wametupa au kutuahidi kutupa chanjo bure zinazotosheleza kuchanja watu laki 5 kila nchi ya Afrika. Masharti ya chanjo hizi za bure ni kwamba zichanje watu wenye afya nzuri walio na umri wa miaka 18 hadi 45. Wasiwe na magonjwa mengine ye yote including morbid obesity. Wamediliki hata kutuamuru kuwa watu hawa wawe ni walimu na polisi wetu.

Kwa nini wanataka watu wa aina hii ndiyo tuwachanje wakati watu wa aina hii miili yao iko imara kukabili virusi vya corona kwa asilimia 99.9%?
Kwa mjanja atagundua kuwa wanataka kuwafanyia a phase IV clinical trial watu hawa ambayo matokeo yake yanaweza kuondoa wasi wasi walionao watu wao huko ughaibuni kuhusu hizi chanjo.

Wanatusubiri sisi tuchanjane. Hadi sasa nchi 10 za Afrika zimekubali 'msaada' huu na faster faster zimepelekewa hizo chanjo na wameanza kuchanjana.

Nchi inayokataa au kusuasua kupokea 'msaada' huu inaandamwa kinoma na inachukuliwa kama adui. Sisi hatujaukataa bali tumewaambia watupe muda wa wanasayansi wetu kufanya uchambuzi na utafiti. Loo ona mashinikizo tunayoyapata hadi kutoka kwa watu tunaowaheshimu sana. Tupeni muda kidogo. Uamuzi tutatoa bila kushinikizwa tuzitoe wapi na tumchanje nani.
 
Bravo for taking time to educate orhers.
 
Na hilo ndilo lilikuwa lengo kuu la kutengeneza na kusambaza virusi vya Corona!
Binadamu hana uwezo wa kutengeneza kitu na kukipa uhai kikaanza kuzaliana, kama binadamu atakuwa ana uwezo huo basi Mungu hana kazi.
Mfano bInadamu anatengeneza robort mfano wa binadamu, sasa hivi wameenda mbali zaidi wanatengeneza robort linaloongea na kucheka ila kama wakitengeneza robort 200 yatabaki hayo hayo 200 sana sana yatapungua maana mengine yataharibika.

Lakini kamwe binadamu hawezi kutengeneza robort halafu marobort hayo yakaanza kuzaliana, haiwezekani kabisa, kabisa, kabisa.

VIVYO hivyo binadamu hawezi kutengeneza virus vikaanza kuongezeka maana kuongezeka maana yake kuna uhai.
 
Chanjo ni nini? Chanjo ni tone kidogo sana ambalo mtu hupewa aidha kwa kulamba au kupigwa sindano kwa madhumuni ya kuamsha uzalishaji wa askari wa kulinda mwili zidi ya ugonjwa huo huo, chanjo huwa ni vimelea vya ugonjwa huo huo unaochanjwa dhidi yake ila vimelea hivyo huwa vimepunguzwa nguvu sana kiasi haviwezi kuleta madhara zaidi tu ya kuamsha uzalishaji wa chembe chembe nwilini ambazo hupigana na vimelea vingine ambavyo vinasababisha ugonjwa husika.

Kwa hiyo hata chanjo zidi ya ugonjwa wa Corona ni vimelea hivyo hivyo vya Corona ila vimepunguzwa nguvu sana kiasi haviwezi kuleta madhara ya mtu kuugua Corona bali kuhamasisha mwili kuzalisha chembe chembe nyingiii za kupigana na ugonjwa huo. Kwa hiyo mtu akichanjwa chanjo ya CORONA mwili huwekwa teyari endapo ataambukizwa virus vya Corona virus hivyo hupigwa kipigo kikali na chembe chembe kinga na virus huangamizwa haraka bila hata mhusika kujua kama ameambukizwa.

Binafsi naamini kinga niliyonayo mwilini mwangu inatosha kupambana... Hivyo chanjo hiyo ikae mbali nami...
 
Yaani umekuwa mjinga na mpumbavu kwa wakati mmoja; kwanza, pili haukuwa fair katika bandiko lako.

Mwaka jana ni wazi kuwa tuliishinda Corona kupitia jitihada zetu ambazo hizohizo Mungu alizibariki yaani 'Nyungu'. Wakati huo wengine jitihada zao nilikuwa kujifungia sisi tukagundua mbinu mbadala na usishangae na wewe ilikusaidia.

Tulijifukiza nchi nzima na ukweli tulisalimika. Hii hujaisemea hata kidogo-NONGWA.

NMRI na Hospital ya Taifa Muhimbili wamefanya jitihada nyingi sana za kukabiliana na ugonjwa huu, kwasasa tunayo dawa yetu-HUJASEMA juu ya hili-ROHO MBAYA

WB ndiyo iliitangaza Tanzania kuingia katika Uchumi wa Kati katikati ya janga la Corona inamaana sisi juhudi zetu Mungu alizibariki. Ni juzi tu CAF iliamuru baadhi ya mechi za Club bingwa barani Afrika zifanyikie Tanzania kwasababu kwingine kuna Corona. Hili najua hutaki kusikia-UJINGA

Kwanini unaamini juhudi za chanjo ya kizungu ndo the best? Kwanza mataifa mengi yamezalisha chanjo nyingi...Urus, China,Uingereza,Marekani,Brazil,India n.k twambie tuchukue ipi iliyo bora?

Juzijuzi kuna chanjo fake imekamatwa A. Kusini kutokea China! Je, Rais akitilia shaka machanjo haya atakuwa anakosea?

Uache upumbavu kuanzia leo!
Hatukurupuki waambie ukweli.
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu?

Hujathibitisha. Unapagawa tu.

Kwa "logical non sequitur" iliyojikita katika "deus ex machina".

Unasema kitu kikitajwa lazima kipo.

Katika Euclidean geometry, nikisema kuna pembetatu ambayo pia ni duara, hiyo pembetqtu ambayo ni duara itakuwepo?

Itakuwa na nyuzi ngapi?
from the beging of nothing,suddenly the hot sport of light raise from no where! hii ndo poa sio?
 
Nitajaribu kuieleza sayansi hii kwa njia na lugha nyepesi ili jamii ipate mwanga suala hili ambalo kisayansi ni complex. Lengo ni kuelimishana ili kupunguza mihemuko na mivurugano tunayoishuhudia kwa sasa hasa kwa baadhi ya wanasiasa na viongozi mbali mbali wa kijamii na wenye taaluma ya habari.

Atakayeweza kusoma nakala hii ndefu anakaribishwa.

1. Nitaanza na vinasaba (genes):
Miili ya viumbe hai ina undwa na chembe chembe ndogo sana zinazoitwa seli (cells). Binadamu ana matrillion ya seli. Seli hizi zinafanya kazi mbali mbali za kuwesha kuishi (metabolism). Kila seli ina nukleasi iliyozungukwa na saitoplasm. Kwenye nukleas kuna molecules za Deoxyriboncleic acid - kifupi chake DNA. Kila seli ya binadamu ina DNA zipatazo billion 3 zilizobebwa kwenye mikufu (chromosomes) 46 ndani ya nukleas.

Taarifa zote za jinsi miili yetu inavyojengeka na kufanya kazi inabebwa kwenye hizo DNA. Kazi zote za miili yetu inafanyika kwenye saitoplasm ya seli zetu. Yaani kwenye saitoplasm ndiko kwenye viwanda mbali mbali vya kuiwezesha miili yetu iishi na kufanya kazi zote vizuri.

Kazi zote zinazofanyika kwenye kwenye saitoplasm zinafanyika kwa maelekezo na usimamizi wa DNA. Ili DNA iweze kusimamia kazi inayofanyika kwenye saitoplasm huwa inatengeneza molecule ya Ribonucleic acid - kwa kifupi RNA na kuituma huko kwenye saitoplasm kwenda kusimamia kazi husika. Hivyo inaitwa messenger RNA - kwa ufupi mRNA.

DNA ilivyumbuliwa mwaka 1953. Huu ulikuwa ni uvumbuzi wa siri ya maisha kwani siri zote za uhai na jinsi kila seli ya mwili inavyofanya kazi zimebebwa kwenye DNA. Baada ya sayansi mpya ya uhandisi wa vinasaba (genetical engineering) kuendelea (advance), kwa kipindi cha miaka 13 kuanzia mwaka 1990 hadi 2003 wanasayansi toka sehemu mbali mbali duniani walifanikiwa kuzing'amua (decode) siri zote za DNA zote billion tatu zilizoko kwenye seli za mwili wa binadamu. The entire human genetic code was decoded/ revealed. Ziko kwenye ving'amuzi vya maabara mbali mbali za uhandisi wa vinasaba.

Kuanzia hapo wanasayansi wameendelea kucheza na hizo vinasaba vya DNA ili kuweza kuangamiza baadhi ya magonjwa kwenye seli za binadamu hususani ya saratani kama ya kongosho (pancreas cancer) na ya baadhi ya virusi kama virusi vya Zika vilivyogundulika huko Uganda mwaka 1947 kwenye msitu wa Zita vikienezwa na mbu Aedes.

Pamoja na kuonesha matokeo mazuri sana katika tiba za maradhi haya, hadi sasa kwa kipindi cha mwongo mmoja mamlaka za FDAs zilishindwa kuzipa kibali tafiti hizi kuendelea na phase 2 ya clinical trials za watu wengi zaidi. Wasi wasi ukiwa ni athari ya muda mrefu ambayo inaweza kutokea kwenye vinasaba (DNA) ya seli ya binadamu.

2. Virusi ni vitu gani:
Virusi ni vimifuko ya vipande vidogo sana ya vinasaba (genes). Kuna virusi ambavyo genetic material yake ni DNA tupu na zingine ambazo ni za RNA tupu. Kirusi cha ukimwi ni cha RNA chenye genetic code 9 tu. Kirusi cha coronavirus nacho ni cha RNA na kina genetic codes 56.

Seli ya kirusi haina saitoplasm. Yaani hizo RNA au DNA zake zimehifadhiwa kwenye gamba (envelope) la protein. Kwa coronavirus gamba hili la protein ni la duara lenye miiba midogo midogo mingi (spike protein). Maji ya sabuni (soapy water) huweza kulisambaratisha (denature) gamba hili kwa urahisi na kukiua kirusi hiki. Ndiyo sababu ya kuwashauri watu kunawa mikono yao kwa sabuni mara kwa mara. Pia joto la nyuzi 45 hadi 56 C kwenye mazingira ya unyevunyevu huweza kulisarambaratisha gamba hili. Hii nayo ndiyo sababu ya tafiti mbali mbali duniani ambazo zimeweza kuonesha faida ya steam inhalation therapy ambao kwetu tunaita kujifukuzia.

Kwa kuwa virusi havina saitoplasm ili viweze kuzaliana zinahitaji kuingia kwenye seli za kiumbe kingine chenye saitoplasm. Hivyo zinaingia kwenye seli ya binadamu kwa lengo la kwenda kuzaliana. Kikishaingia kwenye seli ya binadamu genes ya virusi hivi huchukua kamandi ya maelekezo na usimamizi wa viwanda vya saitoplasm. Vinaamurishwa kufanya kazi ya kuzalisha virusi tu. Kazi zingine zinasitishwa. Hivyo seli zizovamiwa na virusi hivi zinageuzwa kuwa viwanda vya kufyatua virusi tu na vikishafyatuliwa vinavyamia seli zingine. Seli za askari wa mwili (immune cells - B lymhocytes, T lymphocytes, macrophages, Killer cells, cd4 cells etc) zinaingia vitani ambayo matokeo yake ni kifo au kupona.

3. Chimbuko la chanjo za SARS-CoV-2
Baada ya mlipuko mkubwa wa SARS (kiswahili chake Changamoto la Upumuaji) wa kirusi cha CoV-2 au coronavirus wa pili huko Wuhen, China mwezi Nov 2019 wahandisi mahiri wa vinasaba waliingia kazini kumchakata huyu kirusi. Hadi March 2020 wakawa wameweza ku decode the entire genetic code ya kiumbe hiki kidogo ambacho hadi wakati huo hakuna aliyekuwa anazijua hapa duniani. Mchina angeweza kukaa na king'amuzi hicho kwa siri peke yake maana ilikuwa ni uvumbuzi mkubwa wa siri ya maisha ya kirusi hiki. Lakini kwa upendo wa kipekee aliamua kuwasambazia bure maabara zote kubwa za genetic engineering ulimwenguni. Maabara hizi zilipokea kwa furaha ving'amuzi hivi na mara moja kuanza kucheza na vinasaba za kirusi hiki ili kupata dawa au chanjo ya kumwangamiza.

Bahati mbaya au nzuri zilijielekeza zaidi kwenye genetic code ya gamba la mdudu huyu - the spike protein genome. Ziliona hapo ndipo rahisi kummaliza mdudu huyu. Clinical trials zikafanyika haraka haraka. Ilikuwa ni fursa kwa tafiti zao za tiba kwa njia ya vinasaba zilizokuwa zimekwamishwa na FDAs zao kwa miaka mingi sasa kupewa ruhusa angalao ya dharura. Hadi kufikia December 2020 zikawa zimepata hiyo emergency approval na kuanza mass vaccination ya watu wote duniani kama phase IV clinical trial.

Cha kushangaza Mchina ambaye ugunduzi wake wa vinasaba ndiyo ulipelekea utengenezaji wa hizo chanjo, yeye chanjo yake haikutumia teknolojia hiyo. Yeye chanjo yake inatumia kirusi chote (the whole virus with its entire structure including the entire genome intact) kilichopunguzwa makali kama ambavyo zilivyo chanjo za magonjwa mengine tulizozizoea.

Chanjo hizi za wengine ni kama ifuatavyo:

- Pfizer na Modern: Hizi saitoplasma ya seli za binadamu inaingiziwa mRNA kuiamuru izalishe magamba (spike proteins) ya virus vya corona. Unapata kinga dhidi ya magamba yake na hivyo hataweza kuingia tena mwilini mwako kama ataendelea kubaki na gamba lile lile. Ndani ya muda mfupi imeonekana kwamba gamba la kirusi hiki ni kama la kinyonga. Hujibadilisha mara kwa mara kutegemea na mazingira. Kwa muda mfupi zaidi ya aina 7 ya magamba haya yamegundulika - kuna South Africa variant, UK variant, Brazil variant, na majuzi Kenya variant na kadhalika.

Chanjo hizi za mRNA ni ngumu kuzitunza kwani zinahitaji ubaridi wa -20 C kwa Moderna na -70 C kwa Pfizer.

- Johnson & Johson, AstraZeneca na Gamaleya (Spunik V from Russia):
Ili kutatua tatizo la uhifadhi, chanjo hizi zinatumia DNA adenoviruses zilizofanyiwa engineering kubeba ndani yake gene ya spike protein ya CoV-2. Tofauti kati yake ni aina za hizo adenovirus zilizotumika kama kibebeo. Ile ya Astra Zeneca inatumia kirusi cha mafua ya sokwe (chimpanzee flue virus). Ile ya Urusi ina viral vector mbili (Ad26 na Ad5). Ile ya J & J ina viral vector Ad26.

- Efficacy ya chanjo hizi kwa matokeo ya phase III clinical trials: Moderna 94%, Pfizer 95%, Gamaleya 91.4%, AstraZeneca 62%, Johnson & Johnson 62%.

4. Coverage ya chanjo huko ughaibuni:
Zoezi la chanjo huko ughaibuni na america lilianza mwanzoni mwa mwezi December 2020. Lilienga kuanza kwa wale waliokwenye hatari zaidi ya kupoteza maisha kwa gonjwa hili ambao ni wanaohudumia wagonjwa hawa mahospitalini, wazee wenye umri zaidi ya miaka 70 na wenye magonjwa hatarishi km kisukari, magonjwa ya moyo au figo au maini, saratani na ukimwi.

Hadi kufikia tarehe 4 March ni wastani wa asilimia 5 tu ndiyo walioweza kuchanjwa ndani ya muda huo wote wa miezi mitatu pamoja na hamasa kubwa iliyofanyika na inayoendelea kufanyika. Sababu kubwa ni wasi wasi walionao wananchi pamoja na baadhi ya wanasayansi wao kuhusu chanjo hizo zinazocheza na vinasaba za genes zao. Bado kuna vitu vingi havijajulikana kisayansi. Kwa mfano unaambiwa hata ukichanja lockdown, kuvaa barakoa na mambo mengine unaendelea nayo kama awali. Yaani hata hiyo efficacy yake hawaiamini.

Halafu wanaona kabisa licha ya kuchanja gonjwa hili badala ya kupungua huko kwao limekuwa likiongezeka. Kwa nini?
Vaccination coverage kwa baadhi ya nchi zao ni kama ifuatavyo:

USA 7.7%, Belgium 7.2%, Italy 7.8%, France 7.1%, Netherland 5.9%, Russia 3.7%, Bulgaria 3.5%, Sweden 8.1%, Germany 8.1%, Spain 8.6%, Portugal 8.8%, Greece 9.5%,

5. Huu upendo kwa nchi za Afrika umetokea wapi?:
Wakati kasi ya coverage ya chanjo kwenye nchi zao zimekuwa za kusuasua, sisi wametuandama tuchanjane haraka. Wametupa au kutuahidi kutupa chanjo bure zinazotosheleza kuchanja watu laki 5 kila nchi ya Afrika. Masharti ya chanjo hizi za bure ni kwamba zichanje watu wenye afya nzuri walio na umri wa miaka 18 hadi 45. Wasiwe na magonjwa mengine ye yote including morbid obesity. Wamediliki hata kutuamuru kuwa watu hawa wawe ni walimu na polisi wetu.

Kwa nini wanataka watu wa aina hii ndiyo tuwachanje wakati watu wa aina hii miili yao iko imara kukabili virusi vya corona kwa asilimia 99.9%?
Kwa mjanja atagundua kuwa wanataka kuwafanyia a phase IV clinical trial watu hawa ambayo matokeo yake yanaweza kuondoa wasi wasi walionao watu wao huko ughaibuni kuhusu hizi chanjo.

Wanatusubiri sisi tuchanjane. Hadi sasa nchi 10 za Afrika zimekubali 'msaada' huu na faster faster zimepelekewa hizo chanjo na wameanza kuchanjana.

Nchi inayokataa au kusuasua kupokea 'msaada' huu inaandamwa kinoma na inachukuliwa kama adui. Sisi hatujaukataa bali tumewaambia watupe muda wa wanasayansi wetu kufanya uchambuzi na utafiti. Loo ona mashinikizo tunayoyapata hadi kutoka kwa watu tunaowaheshimu sana. Tupeni muda kidogo. Uamuzi tutatoa bila kushinikizwa tuzitoe wapi na tumchanje nani.
Pamoja na kukupongeza kwa jitihada zako za kutoa elimu bado nitaendelea kutofautiana na wewe kuhusu Wachina eti ni watu wenye upendo wa pekee kwa ku-share siri ya genetic code ya Corona virus. ..Wachina hawana sifa hiyo kwenye mambo ya ethics.

Bandiko lako limenifikirisha sana kwenye spritual perspective. Nini chanzo cha ajabu cha “drive” ya virus huyu kutafuta , kufika, kufanya mapinduzi ya mazingira ili kujizalisha utafikri kuna akili nyuma yake inayosimamia.. Just my thoughts.

Nina amini kwenye sayansi kuna Mungu na nguvu zingine zaidi za kwenye Dunia yetu ya nyama (Canal world).
Naamini ugunduzi wa kisayansi ni “revelations “(kufumbuliwa macho) tu wa siri ambazo zipo ila hatuzijui. Na kuna mengi zaidi bado hatuyajui na ni suala la muda tu.

1615104515705.png
 
Back
Top Bottom