Nchi kinara wa wa mpira duniani

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
1. Brazil: "imetesa dunia mara tano".
2. Italia: "imechachafya dunia mara nne"
3. Ujerumani: "imetesa dunia mara nne"
4. Argentina: "imetia kibindoni dunia mara mbili"
5. Uruguay: "imetamba duniani mara mbili"
6. Ufaransa: "imetwaa mara moja"
7. Hispania: "imetingisha dunia mara moja, iliitwanga Uholanzi 1-0,"
8. England: "iliandaa na kuitoboa Ujerumani 4-2, mwaka 1966"

" ikikosekana mojawapo kati ya hizi nchi, hayo mashindano yatakuwa kama bonanza"
 
Mkoloni anaenda kuchafua dunia mara ya tano... Usinibishie.!
 
baada ya serikali ya viwanda jiwe atatuletea wedi kapu
 
Taifa Stars, ilifungwa na Brazil 5-1 rais akashangilia
 
Italy mbona haipo...Nataka Belgium wachukue kombe nimewachoka hao vigogo wa kubebwa
 
Serengeti boys ila sijui inatoka Nchi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…