Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka.
Mfano, kiongozi anaondoka Dodoma halafu shangingi linachoma mafuta kuja kumpokea Dodoma wakati kina mama wanakufa wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma bora huku watoto wao wengine wakisoma kwenye vibanda vya nyasi ambavyo watawala wanaviita shule huku watoto wa viongozi wakisoma Ulaya na kwenye mashule ya gharama humu nchini.
Trump na Elon Musk, nyie ni watu sahihi Mungu katupatia kama zawadi muwanyooshe hawa viongozu wabinafsi wa kiafrika na ninawashauri mfute kaisa hi misaada ambayo sio tu inatumika vibaya, bali inatulemaza na kutufanya tuendelee kuwa ombaomba huku tukiuza rasilimali zetu kupitia mikaba ya kipuuzi kabisa maarufu kama mikataba ya "kimangumangungu".
Kama haitoshi, tunasikia wanataka kuongeza idadi ya majimbo ya uchaguzi(makasiriko matupu wanatuletea).
Nchi za ulaya tunaomba muige huu mfano wa Trump na Musk kwani ni hatua iliyochelewa sana.
Pengine, waafrika tikianza kufa kwa magonjwa na kuishi maisha magumu kwa kukosa huduma za msingi, tutaungana kuwakataa hawa wakoloni weusi.