ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Umeongozwa na wapuuzi kwa maika zaidi ya 60 leo hii miaka 5 utabadilisha nini?Kufikia mwezi wa saba lazima jambo lifanyike atuwezi ongozwa na mpuuzi mitano mingine. Amini hivo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongozwa na wapuuzi kwa maika zaidi ya 60 leo hii miaka 5 utabadilisha nini?Kufikia mwezi wa saba lazima jambo lifanyike atuwezi ongozwa na mpuuzi mitano mingine. Amini hivo.
Waafrika tumelaaniwa kwa kweli. Maana tumejaliwa raslimali za kila aina! Ila wanufaika wakuu ndiyo hao viumbe wachache wanaoishi kama vile wako peponi, huku maelfu ya raia wenzao wakiishi maisha magumu.Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka.
Mfano, kiongozi anaondoka Dodoma halafu shangingi linachoma mafuta kuja kumpokea Dodoma wakati kina mama wanakufa wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma bora huku watoto wao wengine wakisoma kwenye vibanda vya nyasi ambavyo watawala wanaviita shule huku watoto wa viongozi wakisoma Ulaya na kwenye mashule ya gharama humu nchini.
Trump na Elon Musk, nyie ni watu sahihi Mungu katupatia kama zawadi muwanyooshe hawa viongozu wabinafsi wa kiafrika na ninawashauri mfute kaisa hi misaada ambayo sio tu inatumika vibaya, bali inatulemaza na kutufanya tuendelee kuwa ombaomba huku tukiuza rasilimali zetu kupitia mikaba ya kipuuzi kabisa maarufu kama mikataba ya "kimangumangungu".
Kama haitoshi, tunasikia wanataka kuongeza idadi ya majimbo ya uchaguzi(makasiriko matupu wanatuletea).
Nchi za ulaya tunaomba muige huu mfano wa Trump na Musk kwani ni hatua iliyochelewa sana.
Pengine, waafrika tikianza kufa kwa magonjwa na kuishi maisha magumu kwa kukosa huduma za msingi, tutaungana kuwakataa hawa wakoloni weusi.
TRA wao wanatangaza kukusanya zaidi lakini taarifa ya CAG nayo inaendana na upotevu mkubwa wa fedha kwa hiyo ni kama hakuna kitu kinafanyika..Sijaona mwenye uchungu na nchi hii, mimi sioni sababu yoyote ya kutegemea misaada, Kama TRA tayali wamekusanya t. 22, why tusijitegemee. Tatizo ni ukosa vipaumbele lkn pesa inayotumika vibaya na inayopotelea mikononi mwa watu bado ni pesa nyingi
Ila tutafikaHahaha sio wananchi tu. Hata wale wengine.
Mimi nadhani ujinga unaanzia kwa wananchi wanaowachagua,hao viongozi hawawezi kufika hapo bila ya wananchi kuwachagua,hapa inamaanisha sisi waafrika wote akili zetu hazina akili...Ndio maana bara la Afrika lipo nyuma kimaendeleo. I like the speech of professor Lumumba "in Africa we elect fools to the office ".
AKINA AWESU NA WENGINE NDIO ZAO HIZOSisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka.
Mfano, kiongozi anaondoka Dodoma halafu shangingi linachoma mafuta kuja kumpokea Dodoma wakati kina mama wanakufa wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma bora huku watoto wao wengine wakisoma kwenye vibanda vya nyasi ambavyo watawala wanaviita shule huku watoto wa viongozi wakisoma Ulaya na kwenye mashule ya gharama humu nchini.
Trump na Elon Musk, nyie ni watu sahihi Mungu katupatia kama zawadi muwanyooshe hawa viongozu wabinafsi wa kiafrika na ninawashauri mfute kaisa hi misaada ambayo sio tu inatumika vibaya, bali inatulemaza na kutufanya tuendelee kuwa ombaomba huku tukiuza rasilimali zetu kupitia mikaba ya kipuuzi kabisa maarufu kama mikataba ya "kimangumangungu".
Kama haitoshi, tunasikia wanataka kuongeza idadi ya majimbo ya uchaguzi(makasiriko matupu wanatuletea).
Nchi za ulaya tunaomba muige huu mfano wa Trump na Musk kwani ni hatua iliyochelewa sana.
Pengine, waafrika tikianza kufa kwa magonjwa na kuishi maisha magumu kwa kukosa huduma za msingi, tutaungana kuwakataa hawa wakoloni weusi.
hapo akili ndiyo itakaa sawa sasaUsichojua misaada ikikatwa huyo maskini anakuwa maskini triple... Tajiri atayumba tu kidogo halafu atasoma mazingira atarudi kivingine, ila maskini hatakuwa na ujanja ukibahatikana sana ni kifo tu