Nchi masikini: Kiongozi anapanda ndege Dar Es-Salaam, shangingi linakuja Dodoma kumpokea. Trump na Elon Musk, futeni misaada kwa nchi za Afrika

Kufikia mwezi wa saba lazima jambo lifanyike atuwezi ongozwa na mpuuzi mitano mingine. Amini hivo.
Umeongozwa na wapuuzi kwa maika zaidi ya 60 leo hii miaka 5 utabadilisha nini?
 
Kwa hilo kweli Trump acha afute misaada yote wanazembea kwa sababu ya pesa za bure tu kutoka USA hawajui kule zinakotoka ni za walipa kodi kama huku..
 
Sijaona mwenye uchungu na nchi hii, mimi sioni sababu yoyote ya kutegemea misaada, Kama TRA tayali wamekusanya t. 22, why tusijitegemee. Tatizo ni ukosa vipaumbele lkn pesa inayotumika vibaya na inayopotelea mikononi mwa watu bado ni pesa nyingi
 
Waafrika tumelaaniwa kwa kweli. Maana tumejaliwa raslimali za kila aina! Ila wanufaika wakuu ndiyo hao viumbe wachache wanaoishi kama vile wako peponi, huku maelfu ya raia wenzao wakiishi maisha magumu.
 
Hii nchi sasa imeoza...
Mambo ya aibu sasa yanafanywa waziwazi.
Hawana haya tena
 
Sijaona mwenye uchungu na nchi hii, mimi sioni sababu yoyote ya kutegemea misaada, Kama TRA tayali wamekusanya t. 22, why tusijitegemee. Tatizo ni ukosa vipaumbele lkn pesa inayotumika vibaya na inayopotelea mikononi mwa watu bado ni pesa nyingi
TRA wao wanatangaza kukusanya zaidi lakini taarifa ya CAG nayo inaendana na upotevu mkubwa wa fedha kwa hiyo ni kama hakuna kitu kinafanyika..
 
Ndio maana bara la Afrika lipo nyuma kimaendeleo. I like the speech of professor Lumumba "in Africa we elect fools to the office ".
Mimi nadhani ujinga unaanzia kwa wananchi wanaowachagua,hao viongozi hawawezi kufika hapo bila ya wananchi kuwachagua,hapa inamaanisha sisi waafrika wote akili zetu hazina akili...
 
AKINA AWESU NA WENGINE NDIO ZAO HIZO
 
Usichojua misaada ikikatwa huyo maskini anakuwa maskini triple... Tajiri atayumba tu kidogo halafu atasoma mazingira atarudi kivingine, ila maskini hatakuwa na ujanja ukibahatikana sana ni kifo tu
hapo akili ndiyo itakaa sawa sasa
kuliko hutu tumisaada twa uongo na kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…