Nchi maskin haziwez endelea kwa kutegemea Kodi, Bali kwa kutumia rasilimali vizuri

Nchi maskin haziwez endelea kwa kutegemea Kodi, Bali kwa kutumia rasilimali vizuri

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,620
Reaction score
10,261
Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika

Nchi za Afrika zina-rasilimali nyingi lakin ni maskin sababu moja wapo ni usimamiz mbovu wa rasilimali na kuwepo kwa rushwa

Huwez tegemea kupata Kodi kwa wananchi maskin walio wengi afrika, nchi za Afrika zitumie rasilima zake vizuri ili kipato Cha wananchi kikue ndo waanze kuwabebesha mizigo ya kodi
 
Magari ya VX , ndege 11, samani za gharama kubwa ktk maofisi ya serikali , mishahara mikubwa ya vigogo wa serikali, halmashauri na tume bila kusahau wingi wa wabunge.

Vipengele hivyo vikifanyiwa kazi basi mambo ya kutapanya rasilimali kwa vigogo hao wachache na pesa hizo kuelekezwa kwa maendeleo ya watu nchi itakuwa na nafuu.
 
Tuna msururu na mzigo wa kodi...
Kiasi kwamba kila mahali unaambiwa umekwepa kodi hii mara hii...



Cc: mahondaw
 
Nchi masikini ili iendelee basi lazima;

Stage Ya Kwanza.

Kuzalisha mali ghafi ya kutosha mpaka kubakia (Hapa ni kilimo, uvuvi, ufugaji na uchimbaji).

Stage Ya Pili.

Uuzaji wa mali ghafi iliozidi (Haina matumizi) nje ya nchi/masoko ya nje ili kupata fedha za kufungua viwanda.

Stage Ya Tatu.

Kufungua viwanda vya kutosha kutengeneza mali ghafi zinazo zalishwa ndani ya nchi na kuwa bidhaa kutimiza uhitaji wa bidhaa kwa raia wake. Unapunguza uuzaji wa mali ghafi nje ya nchi/masoko ya nje na badala yake unapeleka bidhaa kuuza. Na kuongeza ajira kwa watu wake.

Stage Ya Nne.

Kuzalisha bidhaa zaidi ya mahitaji kwa raia wake, ili bidhaa zilizozidi kuweza kuuza kwenye masoko ya nje na kujipatia kipato.

Stage Ya Tano.

Uzalishaji wa mali ghafi na uzalishaji wa bidhaa viwandani kupita mahitaji ya raia.

NCHI HAIENDELEI KWA KUTEGEMEA KODI KABLA YA KUFIKIA STAGE YA 5. Huzalishi mali ghafi za kutosha na kubakia, huna viwanda vya kutosha kukidhi mahitaji ya bidhaa kwa raia. Halafu serikali itegemee kodi kuendelea au kudidimiza nchi isifikie malengo ya stage 5???
Sasa tuna Mpaka kodi ya kitanda. Nashauri serikali ianzishe kodi ya kupumua
 
Nchi masikini baadhi ya viongozi wake ni walafi na ving'ang'anizi wa madaraka,hakuna wanalolifanya zaidi ya kuwakamua raia wake, waliokaa kwenye system ndio wananeemeka kwa kuwakamua masikini kupitia kodi, EFD machine imegeuka kodi nyingine kwa wafanya biashara, kila Leo wanafanya mabadiliko na mlipaji ni huyo huyo wanaemkamua kila leo,serikali ingelichukulia hili swala kwa umakini zaidi,ili kuepuka kuwalundikia mzigo wa kodi wafanya biashara
 
Back
Top Bottom