Kanyawela
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 183
- 203
Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani.
Ninajiuliza hivi kwa nini tunakaa kulialia badala ya kutafuta njia ya kuweza kujiendesha na kujisaidia bila kutegemea misaada na ruzuku toka kwao?
Kwangu mimi naona sasa ni wakati muafaka kuliko wakati wowote kuweka nidhamu ya usimamizi wa rasrimali zetu na kuachana na kasumba ya kwamba hatuwezi bila wao.