Nahisi ujamuelewaSa si uhamie Zenji Mkuu nayo si Tanzania?
Jibu rahisi kwa swali technical, hatuwezi kuwa na maendeleo kwa majibu mepesi namna hii.Sa si uhamie Zenji Mkuu nayo si Tanzania?
Mshana ameleta uzi kama huu na amejibiwa vizuri tu akaelewa atafute uzi alioleta mshana atapata majibuNahisi ujamuelewa
Mwalimu wako alipata sana shida wakati anakufundisha.Sa si uhamie Zenji Mkuu nayo si Tanzania?
Acha basi 😅😅Mwalimu wako alipataa sana shida wakati anakufundisha.
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?
Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?
Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
View attachment 3566069
Vipi zile za Dar na Mbeya? Jee hixi no mchi mbili?Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?
Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?
Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
View attachment 3566069
Zanzibar Kuna ZURA , mamlaka inayodhibiti nishati na maji. Wao ndio hupanga bei ya huduma hizo Kwa Zanzibar. Pia Zanzibar Ina bandari yake ya mafuta na hifadhi yake ya mafuta.Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?
Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?
Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
View attachment 3566069
Acheni uchawi na choyo, Zanzibar tuna serikali yetu halafu tu ZURA huku nyie mna EWURABado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?
Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?
Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
View attachment 3566069
Mbeya mafuta ni 3950 kama sikoseiVipi zile za Dar na Mbeya? Jee hixi no mchi mbili?
Hongera chawa , nimeambiwa wenye kadi za Lumumba mkionyesha mnajaza mafuta kwa punguzo la 90%Kadri Umbali unavyoongezeka sehemu ambayo mafuta yameshukia ndo bei inavyozidi kuongezeka bei ya Dar es Salaam yaliposhukia haiwezi kufanana na kigoma kwa sababu kuna gharama kubwa ya kuyasafirisha. Nyinyi Mazwazwa ya CHADEMA mnaongea kirahisi rahisi tuu unafahamu tanker ya lita 20,000 au 35,000 mpaka lifike Geita au kigoma lina cost bei gani?
Sahihi kabisaHongera chawa , nimeambiwa wenye kadi za Lumumba mkionyesha mnajaza mafuta kwa punguzo la 90%
Kazi na mtutu tunasonga mbele.
Da ukweli mchungu huuWewe umeona issue ya mafuta tu mengine hujayaona?
Nyie Watanganyika wajinga, hasa wasomi maana ndio wanaobariki kutawaliwa na Zanzibar kwakuwa wanalipwa mshahara mnono
Sahihi kabisa