David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
mada haihusu udini yeye ameingiza udini,kwamba tanganyika wote ni wakristo hakuna waislamu.?Mumjibu kwanza, halafu ndio muulize,,
Jamaa kapiga nondo kali sana, ukweli mchungu hakuna wa kuujibu ndio mnahamisha magoli
Mada inahusu tanganyika na zanzibar yeye analeta mambo ya palestine kupokwa ardhi na israel.
Anasema wakristo hawampendi samia kwani samia ndio rahisi wa kwanza muislamu? Kikwete ,mwinyi mbona walipendwa sana!
Hata magufuli pia alipewa spana vizuri tu na TEC.
Mtu kaua maelfu ya watanganyika ulitaka watu wamchekee? Mbona wakati anapokea kijiti baada ya kifo cha magufuli mbona alikubalika sana na alipendwa sana iwe hivi sasa?