David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
mada haihusu udini yeye ameingiza udini,kwamba tanganyika wote ni wakristo hakuna waislamu.?Mumjibu kwanza, halafu ndio muulize,,
Jamaa kapiga nondo kali sana, ukweli mchungu hakuna wa kuujibu ndio mnahamisha magoli
Jibu hiliKwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
Dar ni 3820, Grita ni 4020. Jee bei ni sawasawa? Jawabu ni hapanaMbeya mafuta ni 3950 kama sikosei
Ni approximately 4000
Subutuuuu, Mwinyi na Kikwete walipendwa? Na wagalatia? No way,mada haihusu udini yeye ameingiza udini,kwamba tanganyika wote ni wakristo hakuna waislamu.?
Mada inahusu tanganyika na zanzibar yeye analeta mambo ya palestine kupokwa ardhi na israel.
Anasema wakristo hawampendi samia kwani samia ndio rahisi wa kwanza muislamu? Kikwete ,mwinyi mbona walipendwa sana!
Hata magufuli pia alipewa spana vizuri tu na TEC.
Mtu kaua maelfu ya watanganyika ulitaka watu wamchekee? Mbona wakati anapokea kijiti baada ya kifo cha magufuli mbona alikubalika sana na alipendwa sana iwe hivi sasa?
Watambagua na watampiga vita kwenye ufugaji wake wa nguruwe na biashara yake ya kiti moto.Sa si uhamie Zenji Mkuu nayo si Tanzania?
Mkuu umewahi kusoma "Approximations"?Dar ni 3820, Grita ni 4020. Jee bei ni sawasawa? Jawabu ni hapana
Jee ni nchi tofauti? Kama kwa Dar na Geita ni halali kuwa na bei tofauti, kwanini iwe nongwa kwa Zanzibar?
SijawahiMkuu umewahi kusoma "Approximations"?
Basi nilichotaka kukuambia hata hautakielewaSijawahi
Sijawahi ona faida ya muungano, na sijui kwanini wanasiasa wanaung'ang'ania na hauna manufaa kwa mtanganyika.
Ila kwenye hili la bei ya zanzibar, usikute wenzetu wa zanzibar wamekata kata kodi za kipuuzi, ili kupunguza gharama shida sisi huku viongozi wetu ni walafi mnoo
WAna faida zao kisiasa, raia hatuoni huo umuhimu wala faida.Faida ya Muungano alishatueleza Lukuvi. Alisema Kanisa haliwezi kuiachia Zenji ijitenge
Ulichojibu ni sawa na anayesema Zanz kuna bendera yao na wimbo wao wa taifa, sawa. Kipengere kwa nini sasa isijitegemee kwa kila kitu. Badala yake inaleta watu wake kuwa viongozi huku Tanganyila!Zanzibar Kuna ZURA , mamlaka inayodhibiti nishati na maji. Wao ndio hupanga bei ya huduma hizo Kwa Zanzibar. Pia Zanzibar Ina bandari yake ya mafuta na hifadhi yake ya mafuta.
Nongwa ni Zanzibar kuwa na kapu lao kivyao mTanganyika hurusiwi kutia mkono ila kapu la Tanganyika ni la wote na wanaliita kapu la Tanzania maana yake cha wote kati ya Zanzi na TanganyikaDar ni 3820, Grita ni 4020. Jee bei ni sawasawa? Jawabu ni hapana
Jee ni nchi tofauti? Kama kwa Dar na Geita ni halali kuwa na bei tofauti, kwanini iwe nongwa kwa Zanzibar?
Ni kweli ila sihitaji kuambiwa kwani hakuna jipya. Hoja ilikuwa ni tofauti ya bei ya mafuta baina ya Bara na Zanzibar kiasi kwamba mwandishi akafananisha na nchi mbili. Kuna jipya la kueleweshwa?Basi nilichotaka kukuambia hata hautakielewa