Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, kila alokabidhiwa kitengo anafilisi serikali. Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa wachina waendeshe miaka 30. Tusijifiche kwenye mwamvuli wa dini, sisi ni wezi, wala rushwa.