Nchi nyingi duniani zimewazuia wasafiri toka India kuingia kwenye Nchi zao, Tanzania tunasubiri nini?

Naomba tu serikali isipuuze habari kama hizi, kwa Tanzania watu walikufa sana miezi ya March, February, kwa sasa kumetulia na misiba imepungua sasa tukiruhusu aina nyingine ya kirusi ni hatari zaidi
 
India ni miongoni mwa nchi zilizojitoa muhanga wa kupunguza wananchi wake. Kwenye hili janga la Corona kuna wagonjwa mahospitalini wanatolewa kidneys huko India watu wanalalamika, wagonjwa wao hawapati huduma stahiki na viongozi wa serikali wamekaa kimya. Hii Covid-19 ni zaidi ya kirusi, tusubiri muda utazungumza.
 
Devastates India, Deaths Go Undercounted


By Jeffrey Gettleman, Sameer Yasir, Hari Kumar and Suhasini RajPhotographs by Atul Loke
April 24, 2021

Updated 9:25 p.m. ET
Fatalities have been overlooked or downplayed, understating the human toll of the country’s outbreak, which accounts for nearly half of all new cases in a global surge.

NEW DELHI — India’s coronavirus second wave is rapidly sliding into a devastating crisis, with hospitals unbearably full, oxygen supplies running low, desperate people dying in line waiting to see doctors — and mounting evidence that the actual death toll is far higher than officially reported.

Each day, the government reports more than 300,000 new infections, a world record, and India is now seeing more new infections than any other country by far, almost half of all new cases in a global surge.

But experts say those numbers, however staggering, represent just a fraction of the real reach of the virus’s spread, which has thrown this country into emergency mode. Millions of people refuse to even step outside — their fear of catching the virus is that extreme. Accounts from around the country tell of the sick being left to gasp for air as they wait at chaotic hospitals that are running out of lifesaving oxygen.

The sudden surge in recent weeks, with an insidious newer variant possibly playing a role, is casting increasing doubt on India’s official Covid-19 death toll of nearly 200,000, with more than 2,000 people dying every day.
ADVERTISEMENT
Continue reading the main story

Interviews from cremation grounds across the country, where the fires never stop, portray an extensive pattern of deaths far exceeding the official figures. Nervous politicians and hospital administrators may be undercounting or overlooking large numbers of dead, analysts say. And grieving families may be hiding Covid connections as well, out of shame, adding to the confusion in this enormous nation of 1.4 billion.
ImageRelatives mourning outside a hospital mortuary in Delhi after seeing bodies of Covid-19 victims on Friday.
Relatives mourning outside a hospital mortuary in Delhi after seeing bodies of Covid-19 victims on Friday.
“It’s a complete massacre of data,” said Bhramar Mukherjee, an epidemiologist at the University of Michigan who has been following India closely. “From all the modeling we’ve done, we believe the true number of deaths is two to five times what is being reported.”

At one of the large cremation grounds in Ahmedabad, a city in the western Indian state of Gujarat, bright orange fires light up the night sky, burning 24 hours a day, like an industrial plant that never shuts down. Suresh Bhai, a worker there, said he had never seen such a never-ending assembly line of death.
But he has not been writing down the cause of death as Covid-19 on the thin paper slips that he hands over to the mournful families, even though the number of dead is surging along with the virus.
“Sickness, sickness, sickness,” Mr. Suresh said. “That’s what we write.”

When asked why, he said it was what he had been instructed to do by his bosses, who did not respond to requests for comment.
Image
Bodies awaiting cremation on Friday in East Delhi.
Bodies awaiting cremation on Friday in East Delhi.
On Saturday, officials reported nearly 350,000 new infections, and the deaths continued to rise. At one hospital in New Delhi, the capital, doctors said 20 patients in a critical care unit had died after oxygen pressure dropped. The doctors blamed the deaths on the city’s acute oxygen shortage.

Months ago, India seemed to be doing remarkably well with the pandemic. After a harsh initial lockdown early last year was eased, the country did not register the frightening case-count and death numbers that sent other big countries into crisis mode. Many officials and ordinary citizens stopped taking precautions, acting as if the worst days were over.

Now, countless Indians are turning to social media to send out heartbreaking S.O.S. messages for a hospital bed, medicine, some oxygen to breathe. “‘National Emergency,’” blared a banner headline in one of India’s leading papers, The Hindustan Times. Across India, mass cremations are now taking place. Sometimes dozens of fires go up at once.
 
Hebu acha kuandika uongo. Nani alikudanganya duniani kuna nchi zilizojitoa mhanga kupunguza raia wake? Uchumi wa nyingi nyingi duniani umeanguka uchumi wa dunia umeanguka na hakuna anayejua janga hili ni lini litaisha halafu wewe unakuja kuandika uzushi usiokuwa na kichwa wala miguu!!!
 
Second wave ni mtihani India na Brazil imeongezeka idadi ya vifo kwa siku mbili za nyuma nadhani kuna haja ya hiyo Tume kuja na majibu sahihi mapema ili kunusuru maisha ya Watanzania hata kwa kutoa lazima ya kuvaa barakoa itawasaidia kuliko kutembea hivyo harafu watu wenyewe gesi hatuna life ngumu matibabu yapo ghari unakua mtihani kidogo...
 
Kwani wakiwazuia inatuhusu nini. Tanzania ni Makao ya Wanadamu. Kimbunga Yobo kimeufyata sembuse Covid 19
 
Ukiangalia na kufuatilia kinachoendelea India, ndiyo utajua nini hasa wanachopitia.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Wazushi wapo popote pale duniani lakini ukweli ni kwamba COVID-19 inaua wahindi wengi sana.
Nakubaliana na wewe wazushi wapo popote pale duniani huenda hata hao wanaokufa hawafi kwa COVID-19 ni uzushi tu.
 
Sijui Serikali inangoja nini kuzuia hata kwa mwezi tu ndege kutoka India kuingia ili kuepusha wasafiri kutoka kule kutuletea maambukizi ya kutisha nchini.
Na hawa wahindi walivyopafanya hapa Tanzania kama sebuleni kwao ni shida sana...jamani zuieni safari za India janga la covid-19 lipo juu sana India....
 
Naomba tu serikali isipuuze habari kama hizi, kwa Tanzania watu walikufa sana miezi ya March, February, kwa sasa kumetulia na misiba imepungua sasa tukiruhusu aina nyingine ya kirusi ni hatari zaidi
Well said.
 
Reactions: BAK
Na hawa wahindi walivyopafanya hapa Tanzania kama sebuleni kwao ni shida sana...jamani zuieni safari za India janga la covid-19 lipo juu sana India....
Variant ya South Africa ndiyo iliondoka na wengi hadi mkuu wa nchi. So uko sahihi.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…