Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin.
Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa.
Kuna nchi zina lalamika kuwa zinamaliza nguvu ya umeme na wizi wa umeme kuongezeka
Chanzo BBC
IMG_5834.jpg

www.bbc.com/news/uk-england-birmingham-57280115.amp
 
Bitcoin inapigwa vita sana,serikali nyingi inaiogopa,ila kadri muda unazozidi kwenda itaikubali tu.
Kama ni issue ya umeme tujiulize hili swali,kuprint notes zenye thamani sawa na thamani ya Bitcoin,ipi inakula sana umeme?
 
Jana nimesoma Polisi wa UK wamevamia Nyumba moja wakifikiri kuna Shamba la Bangi

russ.png
 
Bitcoin inapigwa vita sana,serikali nyingi inaiogopa,ila kadri muda unazozidi kwenda itaikubali tu.
Kama ni issue ya umeme tujiulize hili swali,kuprint notes zenye thamani sawa na thamani ya Bitcoin,ipi inakula sana umeme?
Mkuu mziki wa Bitcoin mining uskie hivihivi ni zaidi ya kiwanda cha saruji
 
Hii itapigwa chini kwanza haina stability hata chembe. Nani anataka kuweka roho yake juu saa zote?
Bitcoin inapigwa vita sana,serikali nyingi inaiogopa,ila kadri muda unazozidi kwenda itaikubali tu.
Kama ni issue ya umeme tujiulize hili swali,kuprint notes zenye thamani sawa na thamani ya Bitcoin,ipi inakula sana umeme?
 
Bitcoin wabadili protocol yao ya proof of work wahamie kwenye proof of stake kidogo itasaidia kupunguza carbon print. Though protocol ya proof of history ndo itamaliza kabisa tatizo hilo
 
Mimi hapa kwakweli naona mapicha picha kila nikijazimisha kuelewa natoka kapa.
 
Mimi hapa kwakweli naona mapicha picha kila nikijazimisha kuelewa natoka kapa.
Pitia hapa upate mawili matatu.

Back
Top Bottom