Mkuu mziki wa Bitcoin mining uskie hivihivi ni zaidi ya kiwanda cha sarujiBitcoin inapigwa vita sana,serikali nyingi inaiogopa,ila kadri muda unazozidi kwenda itaikubali tu.
Kama ni issue ya umeme tujiulize hili swali,kuprint notes zenye thamani sawa na thamani ya Bitcoin,ipi inakula sana umeme?
Bitcoin inapigwa vita sana,serikali nyingi inaiogopa,ila kadri muda unazozidi kwenda itaikubali tu.
Kama ni issue ya umeme tujiulize hili swali,kuprint notes zenye thamani sawa na thamani ya Bitcoin,ipi inakula sana umeme?
True...pia iko easily manipulated na whales kama Elon Musk akitweet tu upepo unahamaHii itapigwa chini kwanza haina stability hata chembe. Nani anataka kuweka roho yake juu saa zote?
Mi naona manyota nyota tu sielewi chochote!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kama sijaelewa vile
Pitia hapa upate mawili matatu.Mimi hapa kwakweli naona mapicha picha kila nikijazimisha kuelewa natoka kapa.