Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida:

IMG_20220330_222103_880.jpg


Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani?

IMG_20220331_101748_383.jpg

Wenzetu kama sisi hawa hapa:

IMG_20220331_101719_471.jpg


Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei:

Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda?

Mama Tozo anakwama wapi?

IMG_20220331_102557_512.jpg


Mama Tozo hata anasikiliza maoni ya watu wake?
 
Watasema .... KATIBA MPYA ...!

Hiyo ni katika sehemu ya kusikiliza maoni ya watu. Kwanini pia kwa mustakabala huu katiba mpya isiwe kuwa ni sehemu ya ufumbuzi:

IMG_20220331_105854_750.jpg
 
Tatizo sisi Tanzania tunaongozwa na vibaka.Imagine hawa ndiyo wataalam tunaotegemea watuvushe🐒🐒🐒
 
Kwani nyie Chadema mna mpango gani?

Haki, usawa na siasa za kistaarabu ndiyo pa kuanzia. Ndipo tuliyokubaliana.

Tunashindwa hadi na kina Kagame huku dhahabu yetu ikipanda bei kila leo?

IMG_20220330_210402_869.jpg
 
Back
Top Bottom