Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
| Country/Region | Expenditures on R&D (billions of US$, real) | |||||
|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
| $660 Billion | ||||
| 2 |
| $556 Billion | ||||
| 3 |
| $194 Billion | ||||
| 4 |
| $148 Billion | ||||
| 5 |
| $105 Billion |
| Country | No. in World |
| South Africa | 33 |
| Morocco | 49 |
| Ethiopia | 58 |
| Tunisia | 59 |
| Uganda | 71 |
| Algeria | 77 |
| Botswana | 83 |
Huku ni kushika mkia. Bila kujiza titi hatuwezi kufika kunako hitajikaNchi za Africa nimeziona:-
Country No. in World South Africa 33Morocco 49Ethiopia 58Tunisia 59Uganda 71Algeria 77Botswana 83
TZ huku tunapiga kelele tu. Watu wenye uwezo wanzimishwa.Huku ni kushika mkia. Bila kujiza titi hatuwezi kufika kunako hitajika
Changamoto sanaTZ huku tunapiga kelele tu. Watu wenye uwezo wanzimishwa.
Kwa uchumi wa USA kwa hicho kiwangu ni kidogo sana kulingana na gharam za maishaHizi hapa nchi tano duniani zinazo ongoza kwenye research and development Afrika hakuna kitu.
Hakuna uchawi kwenye maendeleo bila kujiza titi huku kwenye R&D Afrika tutaendelea kushika mkia kwa kila kitu.
Country/Region Expenditures on R&D
(billions of US$, real)1 United States $660 Billion 2 China $556 Billion 3 Japan $194 Billion 4 Germany $148 Billion 5 South Korea $105 Billion
USD 660 billion per year unasema ndogo ? Are you seriousKwa uchumi wa USA kwa hicho kiwangu ni kidogo sana kulingana na gharam za maisha