Kama tunavyojua utaliii ni moja ya chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi nyingi dunia. Hii ni orodha ya nchi za Africa zilizotembelewa zaidi na watalii kwa kipindi cha mwaka 2020-2021 ambapo kuliku na changamoto ya ugongwa wa Covid-19. SOUTH AFRICA-ilitembelewa na wataliii 2.3 milioni. TANZANIA- ilitembelewa na watalii 900,000. ETHIOPIA- ilitembelewa na watalii 500,000. REUNION(visiwa vya Mauritania na Madagascar)-vilitembelewa na watalii 300,000. ESWATINI-ilitembelewa na watalii 200,000. Chanzo. Shirika la utalii duniani (UNWTO)